Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee

Albamu ya kwanza ya Mr.II inaitwaje? Na amerekodia studio ipi?Ukipatia hapo nitakubali kwamba we umeanza kufuatilia bongo fleva kitambo
[emoji23] [emoji23] we jamaa mkorofi
 
Mkuu me nimenza kufuatilia long sana tangu enzi za KU CREW ila kutomjua mtu ambaye haimbi sio kosa
Ungeanza enzi hizo ungewafahamu na Kalamashaka na ungeanzia huko usingeuliza Ambrose ni nan
 
Kama Wewe Ni Muhenga Kweli Unakosaje Kumjua DUNGA kutoka MANDUGU DIGITAL nayeye ndiye aliyemfundisha uproducer RAMAR from FISH CRAB
True, Lamar before ajaenda 41 rec, alitokea kwa Majani bongo rec ila 41 ndo iliyomfanya ashine
 
Dunga afanane na huyu🙁🙁🙁
 

Attachments

Nianze kukupa Pole
Tena sana
...humjui Mzee wa kick na snare....
Wala sikwambii


Pox
 
Ongezea na Wimbo wa,

MATONYA --- INITHA

CHEGE --- TUFUNGE MIKANDA ( Kama nimekosea mtanirekebisha )
 
Huyu ndio producer dunga hatari sana.

Akili za usiku
 
hizo nyimbo kasearch waptrick.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…