Ni enzi za Diplomatz ama za Kwanza Unit (Kwanzanians)?Mi si MKOROFI ila nataka athibitishe uhenga wake kwenye Bongo Fleva, maana sisi kipindi tunaufuatilia ulikuwa unaitwa muziki wa KIHUNI
Nipeni kura zenu,nipatieni.
Ukijaribu kupitia maoni ya watu utaona wanasema nyimbo ya nakaaya ni mr president sasa najiuliza mr president au mr politician?? au nakaaya katoa nyimbo mpya?? hawa wahenga wa JF mzaha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ile wimbo unaiitwajeeDunga utawaua
Kuna nyimbo moja ya joh makini,anaimba dunga utawaua,afu mwenyewe anamalizia na "my condolences",hatari sana huyu jamaa
Huyu jamaa ni nani anayeuza sura karibu kila video lazima atokee???
Nakumbuka tangu miaka ya mwanzoni ya 2000s huwa anatokea karibu nyimbo zote zilizohit kwa wakati huo na sikuwahi kujiuliza ni nani ila nilifanya mazoea tu kumuona kila hit track enzi hizo
Me namfananisha na Harmorapa nikijua naye huwa anatafuta kiki tuππππ
Sasa hata miaka hii katika nyimbo ya chege nayo katokea
View attachment 563236
View attachment 563240
View attachment 563251
Wanaomjua watuambie huyu jamaa ni nani hasa?