MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mbowe bado ataendelea kuwa GOAT wa siasa za upinzani .
Hako ka James ni ka kilaza!Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata angeendelea kubaki TLP bado angeshinda uchaguzi 2010 Arusha mjini kwa jinsi alivyokuwa anakubalika kisiasa. Kwa wakazi wa Arusha tunajua kashfa ya Lema kuuza ushindi wake mwaka 2005. Kusema kuwa Lema kawa mkubwa baada ya kuingia CHADEMA ni uongo na upotoshaji. Hata Msigwa tayari alikuwa kashagombea ubunge na kupata kura nyingi za wana Iringa. Mimi nimeamua kuweka tu hili suala sawa kwa sababu sipendi upotoshaji wa kitoto kama huu.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgYVn1te0F/?igsh=eWx2dGtrcTZ4cmZw
Mawazo ya kichawa haya.Mbowe bado ataendelea kuwa GOAT wa siasa za upinzani .
Mchezaji hata awe na kipaji cha aina gani anahitaji kuwa na timu bora yenye meneja mahiri ili kipaji hicho kifikie peak yake. Kipaji cha Mbowe ni kuwatambua vijana wenye vipaji, kuwavuta waingie kwenye chama chake, kuwasuka na kuwapa platform ya kuonyesha uwezo wao. Lema angeweza kushinda Arusha lakini angepwaya Bungeni.Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata angeendelea kubaki TLP bado angeshinda uchaguzi 2010 Arusha mjini kwa jinsi alivyokuwa anakubalika kisiasa. Kwa wakazi wa Arusha tunajua kashfa ya Lema kuuza ushindi wake mwaka 2005. Kusema kuwa Lema kawa mkubwa baada ya kuingia CHADEMA ni uongo na upotoshaji. Hata Msigwa tayari alikuwa kashagombea ubunge na kupata kura nyingi za wana Iringa. Mimi nimeamua kuweka tu hili suala sawa kwa sababu sipendi upotoshaji wa kitoto kama huu.
Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata angeendelea kubaki TLP bado angeshinda uchaguzi 2010 Arusha mjini kwa jinsi alivyokuwa anakubalika kisiasa. Kwa wakazi wa Arusha tunajua kashfa ya Lema kuuza ushindi wake mwaka 2005. Kusema kuwa Lema kawa mkubwa baada ya kuingia CHADEMA ni uongo na upotoshaji. Hata Msigwa tayari alikuwa kashagombea ubunge na kupata kura nyingi za wana Iringa. Mimi nimeamua kuweka tu hili suala sawa kwa sababu sipendi upotoshaji wa kitoto kama huu.
Kabisa, angestaafu kwa heshima kuliko alivyobugi akaenda kushindiwa kwenye sanduku la kura alipoteza heshima pa kubwa mnooo!Baada ya kupigwa Chini na Lissu u GOAT uliishia pale.
Baada ya kupigwa Chini na Lissu u GOAT uliishia pale.
Leo nimeandika kwa sababu mwaka 2007 nilibahatika kula takrima iliyotolewa na Lema pale Mbauda. Kwa upande wangu ile takrima ilikuwa siku sahihi na saa sahihi. Nitaelezea kwenye uzi mwingine.Kweli.
Waliobeba na Mbowe bila uwezo wanajulikana
Kwani ni lazima aende Chaumma? Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA na hawezi kuwa na cheo hicho kama sio mwanachama wa CHADEMA.Kama anatengeneza akaitengeneze chauma tatizo liko wapi?
Kutoka chadema hataki kwenda chauma hataki.
Kukaa hawezi kusimama hawezi.
Leo nimeandika kwa sababu mwaka 2007 nilibahatika kula takrima iliyotolewa na Lema pale Mbauda. Kwa upande wangu ile takrima ilikuwa siku sahihi na saa sahihi. Nitaelezea kwenye uzi mwingine.
Anataka aonekane kama mwamba wa siasa kumbe badoHako ka James ni ka kilaza!
Mbowe is Legend wa siasa za vyama vya Upinzani,watu hawashiriki sio kwa nahau za NONO bali aibu.Kwani ni lazima aende Chaumma? Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA na hawezi kuwa na cheo hicho kama sio mwanachama wa CHADEMA.
Chadema ndio wasiojua walitakalo.
Mara alituchelewesha sana!
Mara kwa nini hatutei!
Mara amelamba asali!
Mara kwa nini haonekani Mahakamani!
Mara ni Mwenyekiti Mstaafu!
Mara ni Makamu Mwenyekiti Mstaafu!
Kama hahitajiki CHADEMA mfukuzeni tu.
Amandla...