Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata angeendelea kubaki TLP bado angeshinda uchaguzi 2010 Arusha mjini kwa jinsi alivyokuwa anakubalika kisiasa. Kwa wakazi wa Arusha tunajua kashfa ya Lema kuuza ushindi wake mwaka 2005. Kusema kuwa Lema kawa mkubwa baada ya kuingia CHADEMA ni uongo na upotoshaji. Hata Msigwa tayari alikuwa kashagombea ubunge na kupata kura nyingi za wana Iringa. Mimi nimeamua kuweka tu hili suala sawa kwa sababu sipendi upotoshaji wa kitoto kama huu.


Ni mpumbavu sana dogo . Aache dharau.

Anataka atuambia Mbowe alimtengeneza Kitilya Mkumbo , au Kafulila.
?
Mbowe wanachama waliotoka NCCR Mageuzi ndio walioipandisha Chadema na ndio waliokua wanajua siasa za walioiinua Chadema.
 
Hako ka James ni ka kilaza!
Mtu mwenyewe amesoma shule za kupelekwa na kurudishwa na mabasi yale ya njano unategemea nn toka kwake huyo James? Anapaswa kumtofautisha mbowe na yeye na chadema kama chama/ taasis vs mbowe kama binadam
Wachaga bhana. Hivi lile ghorofa palemikocheni ndo linamtoa roho mzee mboye?
 
Back
Top Bottom