Huyu Jenista Mhagama kuondoka Utumishi ilikuwa suala la muda tu!

Kawaida wateuliwa huulizwa kama wanaitaka kazi kabla ya kutangazwa.

Tanzania inaonekana watu wanabambikwa kazi bila hata kuulizwa kama wanaitaka, wakitegemewa wafurahi tu kwa sababu ni uteuzi wa rais. Hili ni jambo la kijinga sana na moja ya sababu utendaji unakuwa na matatizo, mtu anapewa kazi ambayo hata hakuiomba na pengine haijui.

Na katika zama hizi ambapo wengine wana taaluma zao na biashara zao, ukimbambika mtu kazi ambayo iko nje ya malengo yake matokeo yake ndiyo unapata hayo majibu ya "No, thanks".

Rais anaaibika.
kuu nami naweza kulichukulia hilo la uteuzi bila kuarifiana kwanza kama kubambikwa vyeo!
 
on. Jenista Joackim Mhagama​

Member Type : Constituent Member

Constituent : Peramiho

Political Party : CCM

Phone :

P.O Box : P. O. Box 731, Songea

Email Address : j.mhagama@bunge.go.tz

Date of Birth : 1967-06-23

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
International Labour Training Centre, Turin, ItalyCertificate19991999Short Training
Cambridge International CollegeMasters Degree20132021Masters Degree
Korogwe Teachers Training CollegeDiploma in Education19881989Diploma
Cambridge International CollegeInternational Diploma in Modern Management and Administration20022004Diploma
Korogwe Teachers Training CollegeACSEE19861988Certificate
Peramiho Girls Secondary SchoolCSEE19821985Secondary School
Mfaranyaki Primary SchoolCPEE19751981Primary School

Employment History :​

Company/InstitutionPositionFromTo
Parliament of TanzaniaPresiding Officer20052012
RAAWUZonal Chairperson-Women19972000
VETA, SongeaTeacher19972000
Ministry of EducationTeacher-Songea Girls Secondary School19901997

Political Experience :​

Political PartyPositionFromTo
HIV and AIDS Affairs CommitteeMember20152018
Chama cha MapinduziMember of the Central Committee20102020
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20152020
Chama cha MapinduziBranch Chairperson-Korogwe TTC19861986
Constitution and Legal Affairs CommitteeMember20152018
Prime Minister's Office (Policy Coordination and Parliamentary Affairs)Minister20142014
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20202025
Constitution, Legal Affairs and Governance Committee of the ParliamentMember of the Committee20052010
Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled)Minister20152020
Ministry of Education and Vocational trainingDeputy Minister20132013
Social Services Committee of the ParliamentVice Chairperson20002005
Community development Committee of the ParliamentChairperson20102013
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20102015
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20002005
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20052010
Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled)Minister20202022
Chama cha MapinduziMember of the National Executive Council20062020
President's Office responsible for Public Service Management and Good GovernanceMinister2022To date

Kwa elimu hii ya kuunga unga mhhhh hamna kitu
 
Wizara ya Utumishi na Waziri wa Utumishi na Utawala bora hausiki na teuzi za Wakuu wa Wilaya.

Teuzi za Wakuu wa Wilaya zinatokea CCM,chini ya Katibu wa Chama na mapendekezo ya majina huwasilishwa na Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa.Wizara ya Utumishi yenyewe inabariki tu kwa kuwaingiza kwenye system ya Serikali kwa maana ya kupata mishahara na masilahi mengineyo.

Wizara ya Utumishi unahusika na Watendaji kwa maana ya Maktibu Tawala Wilaya na Mikoa (RAS& DAS) tu.
 
on. Jenista Joackim Mhagama​

Member Type : Constituent Member

Constituent : Peramiho

Political Party : CCM

Phone :

P.O Box : P. O. Box 731, Songea

Email Address : j.mhagama@bunge.go.tz

Date of Birth : 1967-06-23

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
International Labour Training Centre, Turin, ItalyCertificate19991999Short Training
Cambridge International CollegeMasters Degree20132021Masters Degree
Korogwe Teachers Training CollegeDiploma in Education19881989Diploma
Cambridge International CollegeInternational Diploma in Modern Management and Administration20022004Diploma
Korogwe Teachers Training CollegeACSEE19861988Certificate
Peramiho Girls Secondary SchoolCSEE19821985Secondary School
Mfaranyaki Primary SchoolCPEE19751981Primary School

Employment History :​

Company/InstitutionPositionFromTo
Parliament of TanzaniaPresiding Officer20052012
RAAWUZonal Chairperson-Women19972000
VETA, SongeaTeacher19972000
Ministry of EducationTeacher-Songea Girls Secondary School19901997

Political Experience :​

Political PartyPositionFromTo
HIV and AIDS Affairs CommitteeMember20152018
Chama cha MapinduziMember of the Central Committee20102020
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20152020
Chama cha MapinduziBranch Chairperson-Korogwe TTC19861986
Constitution and Legal Affairs CommitteeMember20152018
Prime Minister's Office (Policy Coordination and Parliamentary Affairs)Minister20142014
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20202025
Constitution, Legal Affairs and Governance Committee of the ParliamentMember of the Committee20052010
Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled)Minister20152020
Ministry of Education and Vocational trainingDeputy Minister20132013
Social Services Committee of the ParliamentVice Chairperson20002005
Community development Committee of the ParliamentChairperson20102013
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20102015
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20002005
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20052010
Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled)Minister20202022
Chama cha MapinduziMember of the National Executive Council20062020
President's Office responsible for Public Service Management and Good GovernanceMinister2022To date

Kwa elimu hii ya kuunga unga mhhhh hamna kitu
Sijaelewa yani hana degree ama? ,na inakuwaje alisoma Masters kwa miaka 8.
Elimu yake ya kuunga unga kama SAMIA
 
Kawaida wateuliwa huulizwa kama wanaitaka kazi kabla ya kutangazwa.

Tanzania inaonekana watu wanabambikwa kazi bila hata kuulizwa kama wanaitaka, wakitegemewa wafurahi tu kwa sababu ni uteuzi wa rais. Hili ni jambo la kijinga sana na moja ya sababu utendaji unakuwa na matatizo, mtu anapewa kazi ambayo hata hakuiomba na pengine haijui.

Na katika zama hizi ambapo wengine wana taaluma zao na biashara zao, ukimbambika mtu kazi ambayo iko nje ya malengo yake matokeo yake ndiyo unapata hayo majibu ya "No, thanks".

Rais anaaibika.
Ni kweli kabisa tatizo la watawala wanadhani kila mtanzania ana njaa na kwamba anatamani uteuzi ili agange njaa. Lakini tatizo hilo wa kulaumiwa sio Jenister bali wa kulaumiwa wa kwanza ni mamlaka ya uteuzi.
 
Sasa hapo Jenister angefanyaje? Ulitaka awashikie panga wakubali? Kama Jenister katolewa utumishi kwa sababu uliyoitaja vipi waziri wa tamisemi ambaye wakuu wa wilaya wapo chini take anabakizwa? Na vipi una uhakika kama Jenister alihusishwa kwenye uteuzi wao au naye aliona majina mitandaoni kama sisi?
Tamisemi tatizo ni msonde su kingine.

Hawa primary school certificate Holder ni janga.
 
Ni kweli kabisa tatizo la watawala wanadhani kila mtanzania ana njaa na kwamba anatamani uteuzi ili agange njaa. Lakini tatizo hilo wa kulaumiwa sio Jenister bali wa kulaumiwa wa kwanza ni mamlaka ya uteuzi.
Mkuu mamlaka ya uteuzi unatayarishiwa wateule na kuwa vet, yaani kuwachunguza kupitia vyombo vya dola.
Hapo ndio Jenistaer anahusika na kulaumiwa vile vile.
 
Hakuna wizara hata moja aliyoisha iongoza ikawa na mafanikio!!ni kati ya watu wenye NGEKEWA zao tu!!!lakini hakuna kitu.
Sijawahi kuona anachokifanya huyu mama.
Yupo kwenye baraza miaka na miaka lakini hana jipya
 
Umbea ndo wenyewe, bibie siyo siri, kazi hawezi ni jinsia tu inambeba.
Utateuaje watu halafu wakatae uteuzi?
Kama hulielewi hilo basi upeo wako wa maono si zaidi ya pua yako.
Nakumbuka Mhe Rais Kikwete alienda uwanja wa taifa kuhutubia aliposhika mike tu sauti ya spika ikakata ikabidi waanze kurebisha hizo mike na spika ndipo sauti ikatoka lkn yule muandaaji alifukuzwa kazi palepale.
 
Kama mtu anayepuuzia jambo ni mpuuzi au mpuuziaji, basi tuna viongozi wengi wapuuzi!
 
Pale Utumishi kuna mafaili ya wafanyakazi wengi ya miaka na miaka ambayo hata hayajawahi kufanyiwa kazi. Watu kucha kutwa wanazunguka tu kwenda Dodoma. Kuna namba yao ile ya Utumishi ukipiga ni nadra sana kupokelewa. Na ikipokelewa hakuna cha maana ambacho unajibiwa!
Bado tuna safari ndefu sana akyanani!
 
Back
Top Bottom