Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
kuu nami naweza kulichukulia hilo la uteuzi bila kuarifiana kwanza kama kubambikwa vyeo!Kawaida wateuliwa huulizwa kama wanaitaka kazi kabla ya kutangazwa.
Tanzania inaonekana watu wanabambikwa kazi bila hata kuulizwa kama wanaitaka, wakitegemewa wafurahi tu kwa sababu ni uteuzi wa rais. Hili ni jambo la kijinga sana na moja ya sababu utendaji unakuwa na matatizo, mtu anapewa kazi ambayo hata hakuiomba na pengine haijui.
Na katika zama hizi ambapo wengine wana taaluma zao na biashara zao, ukimbambika mtu kazi ambayo iko nje ya malengo yake matokeo yake ndiyo unapata hayo majibu ya "No, thanks".
Rais anaaibika.
Lakini Mkuu hii ni mara ya kwanza kwa mteuliwa kukataa uteuzi. Kuna shida mahali.Hii taarifa umeileta kiumbea umbea sana.
| School Name/Location | Course/Degree/Award | From | To | Level |
|---|---|---|---|---|
| International Labour Training Centre, Turin, Italy | Certificate | 1999 | 1999 | Short Training |
| Cambridge International College | Masters Degree | 2013 | 2021 | Masters Degree |
| Korogwe Teachers Training College | Diploma in Education | 1988 | 1989 | Diploma |
| Cambridge International College | International Diploma in Modern Management and Administration | 2002 | 2004 | Diploma |
| Korogwe Teachers Training College | ACSEE | 1986 | 1988 | Certificate |
| Peramiho Girls Secondary School | CSEE | 1982 | 1985 | Secondary School |
| Mfaranyaki Primary School | CPEE | 1975 | 1981 | Primary School |
| Company/Institution | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| Parliament of Tanzania | Presiding Officer | 2005 | 2012 |
| RAAWU | Zonal Chairperson-Women | 1997 | 2000 |
| VETA, Songea | Teacher | 1997 | 2000 |
| Ministry of Education | Teacher-Songea Girls Secondary School | 1990 | 1997 |
| Political Party | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| HIV and AIDS Affairs Committee | Member | 2015 | 2018 |
| Chama cha Mapinduzi | Member of the Central Committee | 2010 | 2020 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2015 | 2020 |
| Chama cha Mapinduzi | Branch Chairperson-Korogwe TTC | 1986 | 1986 |
| Constitution and Legal Affairs Committee | Member | 2015 | 2018 |
| Prime Minister's Office (Policy Coordination and Parliamentary Affairs) | Minister | 2014 | 2014 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2020 | 2025 |
| Constitution, Legal Affairs and Governance Committee of the Parliament | Member of the Committee | 2005 | 2010 |
| Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) | Minister | 2015 | 2020 |
| Ministry of Education and Vocational training | Deputy Minister | 2013 | 2013 |
| Social Services Committee of the Parliament | Vice Chairperson | 2000 | 2005 |
| Community development Committee of the Parliament | Chairperson | 2010 | 2013 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2010 | 2015 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2000 | 2005 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2005 | 2010 |
| Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) | Minister | 2020 | 2022 |
| Chama cha Mapinduzi | Member of the National Executive Council | 2006 | 2020 |
| President's Office responsible for Public Service Management and Good Governance | Minister | 2022 | To date |
Sijaelewa yani hana degree ama? ,na inakuwaje alisoma Masters kwa miaka 8.on. Jenista Joackim Mhagama
Member Type : Constituent Member
Constituent : Peramiho
Political Party : CCM
Phone :
P.O Box : P. O. Box 731, Songea
Email Address : j.mhagama@bunge.go.tz
Date of Birth : 1967-06-23
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level International Labour Training Centre, Turin, Italy Certificate 1999 1999 Short Training Cambridge International College Masters Degree 2013 2021 Masters Degree Korogwe Teachers Training College Diploma in Education 1988 1989 Diploma Cambridge International College International Diploma in Modern Management and Administration 2002 2004 Diploma Korogwe Teachers Training College ACSEE 1986 1988 Certificate Peramiho Girls Secondary School CSEE 1982 1985 Secondary School Mfaranyaki Primary School CPEE 1975 1981 Primary School
Employment History :
Company/Institution Position From To Parliament of Tanzania Presiding Officer 2005 2012 RAAWU Zonal Chairperson-Women 1997 2000 VETA, Songea Teacher 1997 2000 Ministry of Education Teacher-Songea Girls Secondary School 1990 1997
Political Experience :
Political Party Position From To HIV and AIDS Affairs Committee Member 2015 2018 Chama cha Mapinduzi Member of the Central Committee 2010 2020 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2015 2020 Chama cha Mapinduzi Branch Chairperson-Korogwe TTC 1986 1986 Constitution and Legal Affairs Committee Member 2015 2018 Prime Minister's Office (Policy Coordination and Parliamentary Affairs) Minister 2014 2014 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2020 2025 Constitution, Legal Affairs and Governance Committee of the Parliament Member of the Committee 2005 2010 Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) Minister 2015 2020 Ministry of Education and Vocational training Deputy Minister 2013 2013 Social Services Committee of the Parliament Vice Chairperson 2000 2005 Community development Committee of the Parliament Chairperson 2010 2013 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2010 2015 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2000 2005 Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2005 2010 Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) Minister 2020 2022 Chama cha Mapinduzi Member of the National Executive Council 2006 2020 President's Office responsible for Public Service Management and Good Governance Minister 2022 To date
Kwa elimu hii ya kuunga unga mhhhh hamna kitu
Ni kweli kabisa tatizo la watawala wanadhani kila mtanzania ana njaa na kwamba anatamani uteuzi ili agange njaa. Lakini tatizo hilo wa kulaumiwa sio Jenister bali wa kulaumiwa wa kwanza ni mamlaka ya uteuzi.Kawaida wateuliwa huulizwa kama wanaitaka kazi kabla ya kutangazwa.
Tanzania inaonekana watu wanabambikwa kazi bila hata kuulizwa kama wanaitaka, wakitegemewa wafurahi tu kwa sababu ni uteuzi wa rais. Hili ni jambo la kijinga sana na moja ya sababu utendaji unakuwa na matatizo, mtu anapewa kazi ambayo hata hakuiomba na pengine haijui.
Na katika zama hizi ambapo wengine wana taaluma zao na biashara zao, ukimbambika mtu kazi ambayo iko nje ya malengo yake matokeo yake ndiyo unapata hayo majibu ya "No, thanks".
Rais anaaibika.
Tamisemi tatizo ni msonde su kingine.Sasa hapo Jenister angefanyaje? Ulitaka awashikie panga wakubali? Kama Jenister katolewa utumishi kwa sababu uliyoitaja vipi waziri wa tamisemi ambaye wakuu wa wilaya wapo chini take anabakizwa? Na vipi una uhakika kama Jenister alihusishwa kwenye uteuzi wao au naye aliona majina mitandaoni kama sisi?
Waziri mzigo wa miongo 🤣🤣Wambebe tu ktk hizi nafasi lkn kiukweli hatoshi ktk hizi wizara zote! Hata alikopelekwa ni yaleyale!
😂😂😂Tamisemi tatizo ni msonde su kingine.
Hawa primary school certificate Holder ni janga.
Mkuu kuna watu wanaona tatizo lakini hawaelewi mpaka waekezwe wee, kuwa wanamdhalilisha Rais, mamlaka ya uteuzi.Lakini Mkuu hii ni mara ya kwanza kwa mteuliwa kukataa uteuzi. Kuna shida mahali.
Mkuu mamlaka ya uteuzi unatayarishiwa wateule na kuwa vet, yaani kuwachunguza kupitia vyombo vya dola.Ni kweli kabisa tatizo la watawala wanadhani kila mtanzania ana njaa na kwamba anatamani uteuzi ili agange njaa. Lakini tatizo hilo wa kulaumiwa sio Jenister bali wa kulaumiwa wa kwanza ni mamlaka ya uteuzi.
Mwaka 2015 yupo jamaa alikuwa ni Manager lake zone naye alimkatalia JPM.Lakini Mkuu hii ni mara ya kwanza kwa mteuliwa kukataa uteuzi. Kuna shida mahali.
Sijawahi kuona anachokifanya huyu mama.Hakuna wizara hata moja aliyoisha iongoza ikawa na mafanikio!!ni kati ya watu wenye NGEKEWA zao tu!!!lakini hakuna kitu.
Nakumbuka Mhe Rais Kikwete alienda uwanja wa taifa kuhutubia aliposhika mike tu sauti ya spika ikakata ikabidi waanze kurebisha hizo mike na spika ndipo sauti ikatoka lkn yule muandaaji alifukuzwa kazi palepale.Umbea ndo wenyewe, bibie siyo siri, kazi hawezi ni jinsia tu inambeba.
Utateuaje watu halafu wakatae uteuzi?
Kama hulielewi hilo basi upeo wako wa maono si zaidi ya pua yako.
Namkubari sana jenista,yupo vizur kichwani