Huyu jirani yangu kiboko!!!

Huyu jirani yangu kiboko!!!

Hii inaitwa mumo kwa mumo, hapo kuna haja ya kwenda msalani kibofu kikijaa kweli?
Msalani kufanya nini?? hakuna utii bila shuruti ukishagida masanga
maxresdefault.jpg
 
Tafuta watu.mumteke.alaf mtishieni kumpaka mafuta.mnampasulia na yai.ataacha mwenyewe na atahama
 
Mviziie tu siku moja umchape fimbo kadhaa pombe waga zinawatoka kumkichwa na wanakuaga wapole balaa...
 
Back
Top Bottom