Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Huyu sio @Ushimen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sawa mkuuUnanifurahisha sana na comment zako haaaa
Comrade Ushimen njoo huku
Nimeomba nimekemea lakini wapi!!!pole mkuu. vumilia tu mkuu. ipo siku ataacha. muombee kwa Mungu.
[emoji15] [emoji15]Tafuta watu.mumteke.alaf mtishieni kumpaka mafuta.mnampasulia na yai.ataacha mwenyewe na atahama
Nitajaribu tena ila daah huwa haelewi,nimemwambia piga kelele mchana angalau haelewi,sijui nimwagie upupu?jaribu kutafuta siku uzungumze nae kiroho safi
Wapi huko ? nihamie.Huku kwetu ukipiga kelele hovyo unachapwa viboko sabini (70)
Aisee.Huyo anaesumbua hajalewa, mimi jirani akirudi amepasha, namwongezea na kawisky ka kumzimisha kabisa. Tokea nimeanza kutumia hiyo mbinu ni JF tu ndo inanifanya nakesha.
Mie,na wanangu je!nunua vidonge vya usingizi
But I do love him.The entire law is summed up in a single command: "Love your neighbor as yourself." -Galatians 5:14
excellentBut I do love him.
Unaweza kupigana ?Nipe namba yake nimwambie aache mambo ya kishamba
Sinayo mkuu.sidhani hata anatumia simu huyu.Nipe namba yake nimwambie aache mambo ya kishamba
Hahaha usimmwagie mkuuNitajaribu tena ila daah huwa haelewi,nimemwambia piga kelele mchana angalau haelewi,sijui nimwagie upupu?
Nakuunga mkonofimbo tu, huyo.
[emoji106]Akirudi amelewa mchape viboko na umwambie akipiga kelele utamuongezea.
Lakini ananitesa.Hahaha usimmwagie mkuu
cc Ushimen