Huyu jamaa sijui kama vijana wamjini watamuacha salama wasimleEti??
Au ndo huyu???
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa sijui kama vijana wamjini watamuacha salama wasimleEti??
Au ndo huyu???
![]()
tuhamie huko tumpe assist mwenzetuNakuunga mkono
Tafuta njia nyingine mbadala isiyo ya kumdhuruLakini ananitesa.
Mkuu kelele zinazuiwa na fens?jamaa ni kama kameza kipaza sauti.Pga fens ukae zako ndan ya
Get uepukane na hzo kero
Assist ya kukesha[emoji135][emoji135]haya karibuni.tuhamie huko tumpe assist mwenzetu
Anakunywa gongo!!akikosa mpaka hiyo si atakufa jamani.[emoji23][emoji16][emoji3].Muombee akose hela y pombee
Assist ya kumkomesha jirani yako mkuu. we hupendi Assist ya kumchapa bakora?Assist ya kukesha[emoji135][emoji135]haya karibuni.
Karibu tumchangie[emoji3][emoji16][emoji23]atakomaje?Assist ya kumkomesha jirani yako mkuu. we hupendi Assist ya kumchapa bakora?
hahaha! no "wahala"Karibu tumchangie[emoji3][emoji16][emoji23]atakomaje?
Akimshtaki?Akirudi amelewa mchape viboko na umwambie akipiga kelele utamuongezea.
Kero!karaha.jirani naona umeamua uje kunianika humu ulidhani sipo jf lakin nipo na nimekua nikisia kutoka kwa watu mbalimbali ukiwatangazia nikilewa nakupigia makelele sikiliza jirani nikilewa natumia pesa zangu sio zako ile ni starehe yangu huwez kunitenganisha nayo kama uwezi kukaa karibu na mimi hama au kuwa mlevi na wewe ikishibdikana weka pamba masikioni hili ni onyo nikusikie tena unaniongelea nitakuja kunya hapo mlangoni kwako...
Huyu anayeandika usiokojoe hapa kwan sie twiga ndio tufikie kwenye maandishNimecheka sana
Ndio dawa....fimbo tu, huyo.