Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
jaribu kutafuta siku uzungumze nae kiroho safiAnakuwa hana iibu la maana,anakuambia eti usiku anaona wachawi lakini ni ulevi tu na mawenge ya pombe nafikiri.
Msalani kufanya nini?? hakuna utii bila shuruti ukishagida masangaHii inaitwa mumo kwa mumo, hapo kuna haja ya kwenda msalani kibofu kikijaa kweli?
Nimecheka sanaMsalani kufanya nini?? hakuna utii bila shuruti ukishagida masanga
Cheka unenepe mama... maisha yenyewe mafupi haya...Nimecheka sana
Nilikuletea hii picha kwa siri sasa unaniexpose JF, this is breech not confidentialityCheka unenepe mama... maisha yenyewe mafupi haya...
Hahahahaa sorry mamii. Sitarudia tena.Nilikuletea hii picha kwa siri sasa unaniexpose JF, this is breech not confidentiality
Huyu hata mswaki hakupigaCheka unenepe mama... maisha yenyewe mafupi haya...
Mmmh[emoji87] [emoji87]Kapiga bhana...
View attachment 532173
Kapiga bhana...
View attachment 532173
Pumbavu zako aspirin umenifanya nitapike..
Unanifurahisha sana na comment zako haaaaDuuh pole mkuu, ukiongea nae kuhusu hiyo ishu vipi??