Huyu jirani yangu kiboko!!!

jirani naona umeamua uje kunianika humu ulidhani sipo jf lakin nipo na nimekua nikisia kutoka kwa watu mbalimbali ukiwatangazia nikilewa nakupigia makelele sikiliza jirani nikilewa natumia pesa zangu sio zako ile ni starehe yangu huwez kunitenganisha nayo kama uwezi kukaa karibu na mimi hama au kuwa mlevi na wewe ikishibdikana weka pamba masikioni hili ni onyo nikusikie tena unaniongelea nitakuja kunya hapo mlangoni kwako...
 
Nna jamaa yangu baba mwenyenyumba wake ndo ana tabia za jirani yako
 
Kero!karaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…