Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Habari Wana JF?
Kiufupi mimi ni baba wa familia, nimejaliwa mtoto mmoja. Twende moja kwa moja kwenye mada.
Nyumba ninayoishi nimepanga wapangaji tupo wanne hakuna bachela, sasa kimbembe kuna huyu jirani yangu mmoja mke wa mtu, kaolewa ni mke wa pili kwa mshikaji jamaa noti anazo.
Toka nimeamia hapa nina mwaka wa tatu sasa, jirani yangu ananitaka jambo ajanitamkia mitego anayonifanyia ni ishara tosha kuwa anataka dudu, yupo vizuri kaumbika haswa mwenyewe mate yananitoka.
Naipenda familia yangu sitaki kuiharibu, huyu manzi mke wa mtu, najiwazia tu sasa nikimla wife akijua si ndio mwanzo wa mafarakano? Mume wake naye akijua? Na tunaheshimia sana.
Sasaaivi huyu jirani yangu amekuja na mbinu mpya baada ya ile ya kwanza kufeli, anajua kuwa nampenda sana mtoto wangu, na yeye ameamua kupitia kwa mtoto, akijua tu kuwa nipo nyumbani mapenzi kama yote kwa mtoto, baba yuko wapi anafanya nini mbona umechafuka hivi njoo nikuogeshe 🤣🤣.
Sasa mabaharia uvumilivu umenishinda namla huyu na nyumba nahama.