Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huwa siingiagi hili jukwaa siku hizi likejaa watoto wengi, limeshapoteza manufaa yaliyokuwaga humu siku za nyuma.Nilivyonusurika kulawitiwa
Mnamo mwaka 2010 nilipohitimu masomo yangu ya kidato cha nne huko mkoani Arusha home town. Nikiwa nasubiri matokeo yatoke, Mama yangu mkubwa alinihitaji nikaishi kwake jijini Dar'saam mitaa ya Oysterbay Kinondoni. Basi nikaanza safari kuelekea Dar, nyumbani kwa mama Mkubwa palikuwa na eneo...www.jamiiforums.com
Naona wale wengi walifanya MMU iwe place to be wametingwa na majukumu ya kimaisha, na yule Maria Sarungi yeye kazi yake kubwa sasa hivi ni kushutumu serikali tu kwa jambo lolote, lakini alikuwa yuko vizuri sana humu.