Huyu jirani yangu sasa nimemvumlia vya kutosha

Huwa siingiagi hili jukwaa siku hizi likejaa watoto wengi, limeshapoteza manufaa yaliyokuwaga humu siku za nyuma.

Naona wale wengi walifanya MMU iwe place to be wametingwa na majukumu ya kimaisha, na yule Maria Sarungi yeye kazi yake kubwa sasa hivi ni kushutumu serikali tu kwa jambo lolote, lakini alikuwa yuko vizuri sana humu.
 
Usikute hata huyo jamaa mwenye mke nae anamtamani ila ameamua kumpa dili mke wake ajilengeshe jamaa akiingia king apate kumpumulia"
 
Huwa siingiagi hili jukwaa siku hizi likejaa watoto wengi, limeshapoteza manufaa yaliyokuwaga humu siku za nyuma.

Kiukweli kuna utoto mwingi sana na kundi kubwa la wavulana wanaolia lia kuumizwa na watu wanaowaita 'wake zao'...
 
Wapangaji wasiokuwa bize ni sawa na wavaa dera kwenye mikeka.
 
Kumbe bado mvulana na anakula ugali wa danadana 😁😁
 
Utaleta majanga mawili, mme wake na mke wako. Epuka na asikuzoee.
 
Fukuza Hilo pepo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wangu, mchakate.
Vinginevyo utasababisha dharau kwa mabaharia.
 
The falcon cannot hear the falconer; Things fall apart
 
Nakazia point ya mdau mmoja: Achana na mawazo haya. Tafuta hela kwa bidii ukajenge kwako.

Huyo mpangaji mwenzio ambae unataka kutuaminisha kwamba mumewe noti anazo atakufilisi tu na labda kukupa magonjwa
 
Hili jukwaa limejaa utoto mwingi Sana siku hizi hili sio jambo la kuomba Ushauri na ukajiita Great thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…