Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Hao waliowaoa ndo wanatusumbua sisi wanatupenda wakati wamewaweka nyie dp. Kinachoweza kufanyika kifanyike tu bwana kama dp au moyoni haina noma
Mfyuuuuuu zako mbona hawajawawoa nyie
 
Laiti wangekusikiliza
 
Naamini nimeliona jua kabla yako.
Najua kwa hakika nilisemalo
Ni kweli lakini hakuna kitu kama hicho hata yeye anaweza akasema. Tatizo haaaminiki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hata akiwa baby wako tatizo ninii kwangi Ngabu sio mwanaume jaman tena bonge la muhandsome
Mzuri kweli sio utani namsubiri arudi tulane ili iwe kweli tu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…