Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mbona wapo wengi wenye misafara ya namna hiyo. Tena kwa Bagamoyo Road kuna msafara mwingine unakua na gari tatu nyeusi nadhani ni V8 zile zinaenda kasi sana na kama ukichelewa kuwapisha barabarani kuna jamaa wamevaa suti wanafungua kioo cha dirisha wanakupa mkwara mzito
Sheria inasemaje
Chief of staff ni luten generali ni haki yake kuwa na msafaraCheo chake ni Chief of Staff, ni cheo cha pili kutoka brigedia general...kama ukifuatilia zaidi unaweza kulipata jina lake mahali fulani naamini
Chief of staff luten general chini ya CDFCheo chake ni Chief of Staff, ni cheo cha pili kutoka brigedia general...kama ukifuatilia zaidi unaweza kulipata jina lake mahali fulani naamini
napenda macho ya D. Mwamunyange kweliNiliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
He has a great personality. When in a civilian you wouldn't imagine he was once a CDF!napenda macho ya D. Mwamunyange kweli
Akashusha vioo kabisa na kukupungia.Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Huyo ni mnadhimu wa jeshi au mtendaji mkuu jeshini cheo chake ni Luteni general MTU mzito Huyo.Cheo chake ni Chief of Staff, ni cheo cha pili kutoka brigedia general...kama ukifuatilia zaidi unaweza kulipata jina lake mahali fulani naamini
kuna mmoja yupo huko madale ni mkubwa wa nini sijui..... ana V8 tatu wala hanaga mbwembwe saaana...... akifika kibaoni pale kingo'ra kinawashwa anasepa zake mjini..... amejenga hekalu kubwa sana huko madale.Cheo chake ni Chief of Staff, ni cheo cha pili kutoka brigedia general...kama ukifuatilia zaidi unaweza kulipata jina lake mahali fulani naamini
ha ha ha ha!Hawa jamaa kweli wanapaswa kuwa na walinzi lakini wakati mwingine wana exaggerate zaidi
Kuna siku natoka hotel moja kubwa nipo nje wakatoka mp wawili mmoja anaangalia kushoto mwingine kulia yaani utafikiri tunavamiwa yaani kama wana act movie kabisa na mimi nikajisemea sijui nilale chini ku take cover maana na mimi sio wa spotispoti
Basi katoka bosi na mbembwe zote zile gari likakataa kuwaka
Mimi bado naangalia movie tu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Yaani pale Makao utafuziwa mbali na MPs.ungeandika barua ya maoni.ukaifikishe pale makao makuu upanga.
Mkabidhi mlinzi ataipata.
Sent using Jamii Forums mobile app