Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Ndio inavyotakiwa.. Nawapa BIG up wajeda wote wliopo kwenye msafara wake.. Waendelee hivyo hivyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wao wanajilinda na nini ?Inashangaza wanaopaswa kutulinda ndio wa kwanza kujilinda[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikwara yote gari la kusukumaha ha ha ha!
Acha uongo sio mzenji ni MTU wa Tanga!Jamaa flani Mzenji nadhani. Kateuliwa na Magu, mchelewaji yule anakuwa anakimbizana kuwahi ofcn
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema mzee aligoma kuhamia huko ushuani Masaki,mpk barabara imetengenezwa fresh kabisa sababu ya mzee baba.Safi sana.Naona kamuiga boss wake. Hawa wote wamekataa kukaa kambini kwenye nyumba za jeshi ili waje wafanye 'fujo' mitaani. Wabongo wanasema, raha ya pesa, uitumie kule wanapokujua... Hata mkuu wa majeshi anakaa Segerea... Kiukweli amesaidia kuipaisha Segerea sasa panaonekana pa kishua... Maana inaonekana hata vigogo wanakaa huko... Zamani haya mambo tuliyazoe kuyaona Masaki tu!
I see!Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Muongo sana wewe. Duniani makamanda wakuu matawi ya chini utadhani hawapo.Inasikitisha baadhi ya makamanda wetu kwa kweli have an overinflated sense of self importance.Duniani kote hao makamanda wana misafara kama kero ikizidi unaweza kubadili barabara tu
next time nikikutana nao nitashoot ka video kutoka kwenye tinted langu...
Jamani hakuna ulemvi mbaya kama wa cheo na madaraka kama mwenye navyo hana hekima na utu. Hawajui kuwa hivi vyeo ni vya muda tu na baada ya hapo tutakutana gengeni au ununio kwenye soko la samaki. Ni karaha kubwa mno na inaudhi kwa kweli. Waziri wake Mhe. Mwinyi hana hizo tabia, waambiwe waache kulewa madaraka hayo. Kuna watu wana nafasi kubwa kuliko yeye na majukumu nyeti kuliko yake lakini wana hekima na ustaarabu na wanakuwa kwenye foleni kama sisi waajiri wao. Atambue na kukubali kuwa hiyo ni dhamana tu na analipwa kwa kodi zetu sisi tunaotishiwa na kutukanwa barabarani. Ninaamini mamlaka husika zitalipokea hili na kumshauri au kumwelekeza huyo kiongozi kutotumia ofisi yake vibaya.Habari wana jamvi,
Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla
bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila siku akisubiriwa kupita yeye na ma MPs wake wanaoning'inia kwenye milango bila sababu ya Msingi na wakati mwingine waki ning'inia na Bunduki na mavazi kama tuko Afghanistan...wakifokea watu barabarani kukaa pembeni tena wakiwa kwenye wrong Lane!
Binafsi ananikera sana, kama anahitajika kufika ofisini mapema si atoke mapema kama wengine...😡 au ndio Madaraka ya Kulevya?
Kuna siku niliwahi kuongozana na gari ya Waziri wa Ulinzi toka Uwanja wa ndege wa Dsm hadi hadi nilipofika Mwenge nao wakiwa kwenye foleni bila hamaki wala papara.
Hebu mfikishieni salamu huyu Kamanda, awaambie walinzi wake kuwa wastaarabu na kutotukera wananchi.
Kwa hiyo huyo kamanda ana mzidi mkuu wa majeshi? Mbona yeye huwa hana mambo hayo? Hata kina mwamunyange hawakuwa hivyo?Duniani kote hao makamanda wana misafara kama kero ikizidi unaweza kubadili barabara tu
Tuna maluteni general wawili tu,kwahiyo tunaweza kumjua huyo hahhahhaaKijeshi ni Luteni Jenerali (Lieutenant Geneal; 3-star General) just nyuma ya Mkuu wa Majeshi (Jenerali - 4-star General). Chief of Staff ni cheo cha utendaji ambacho anaweza akapewa kamanda mwingine yeyote mwenye cheo sawa cha kijeshi.