Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Kwa hiyo huyo kamanda ana mzidi mkuu wa majeshi? Mbona yeye huwa hana mambo hayo? Hata kina mwamunyange hawakuwa hivyo?
Mkuu wa majeshi hana msafara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo huyo kamanda ana mzidi mkuu wa majeshi? Mbona yeye huwa hana mambo hayo? Hata kina mwamunyange hawakuwa hivyo?
Kati ya viongozi wanaojielewa CDF ni namba 1. Anakatiza kitaa kama kawa.Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Labda kama hajipendiungeandika barua ya maoni.ukaifikishe pale makao makuu upanga.
Mkabidhi mlinzi ataipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema hana msafara, ila sio huo wa kukuta watu eti wananing'inia na mi bunduki, mfano mzuri enzi zile za mwamunyange, waulize watu wa mbezi beach, walikuwa wanashangaa kama ni yeye ndio anapita hakuna mishemishe kabisa!! Hayo mambo ni hulka ya mtu, tu ndio maana akistafu anapata shida sana, mwisho wa siku lazima awahi kufa!! Tungepata na kabila lake huyo tungeweza kwenda mbele zaidi inawezekana analaumiwa bure tuMkuu wa majeshi hana msafara?
Uko sahihi mkuu nnachokushauri siku akiwa anapita tulia zako usimpishe wala nini
Hahaha...hawa watakua ndo wanaokula matunda ya nchi hiiMbona wapo wengi wenye misafara ya namna hiyo. Tena kwa Bagamoyo Road kuna msafara mwingine unakua na gari tatu nyeusi nadhani ni V8 zile zinaenda kasi sana na kama ukichelewa kuwapisha barabarani kuna jamaa wamevaa suti wanafungua kioo cha dirisha wanakupa mkwara mzito
msafara sio issue hata akiwa nayo mia mojaDuniani kote hao makamanda wana misafara kama kero ikizidi unaweza kubadili barabara tu
Hio ya wavaa suti ila wao hawaweki watu pembeni wao ving'ora tu huku wana advance na mikwara ya hapa na pale kwa wazembeajiMbona wapo wengi wenye misafara ya namna hiyo. Tena kwa Bagamoyo Road kuna msafara mwingine unakua na gari tatu nyeusi nadhani ni V8 zile zinaenda kasi sana na kama ukichelewa kuwapisha barabarani kuna jamaa wamevaa suti wanafungua kioo cha dirisha wanakupa mkwara mzito
Take it with care!next time nikikutana nao nitashoot ka video kutoka kwenye tinted langu...
... huyu jamaa sijui ana tatizo gani. Mbona Jenerali Mabeyo tunapishana naye mitaa ya Segerea kila siku kikawaida kabisa bila wananchi kuwekwa pembeni au kugandishwa kwenye foleni. Anasahau kila mtu anawahi kwenye mihangaiko yake na sio yeye tu.
Usijali mimi ninayo ile Tinted ya Kuibia wake za watu kama zile alizokuwa anataka Kamanda Nanihii tuzitoe kipindi kile!