Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mbona wapo wengi wenye misafara ya namna hiyo. Tena kwa Bagamoyo Road kuna msafara mwingine unakua na gari tatu nyeusi nadhani ni V8 zile zinaenda kasi sana na kama ukichelewa kuwapisha barabarani kuna jamaa wamevaa suti wanafungua kioo cha dirisha wanakupa mkwara mzito