Lugombo Nsesi
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 126
- 149
Mkurugenzi wa tiss huyokuna mmoja yupo huko madale ni mkubwa wa nini sijui..... ana V8 tatu wala hanaga mbwembwe saaana...... akifika kibaoni pale kingo'ra kinawashwa anasepa zake mjini..... amejenga hekalu kubwa sana huko madale.
Sent using Jamii Forums mobile app