EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #61
Ufanyie kazi ushauri wa Mgeni wa Jiji naona kama unafaaa
Baada ya miezi sita tuletee mrejesho
Umuleavyo ndivyo akuwavyo,chanzo cha yote hayo ni wewe,lazima usimame kama baba sio unasema umeoa alafu unakuwa na akili za kivulana,,
Anashinda na simu kwenye mitandao ya kijamii,ni kwa vile umemuwekea wafanyakazi wa kufanya kila kitu,
Anachukua fedha bila idhini yako na kufanya matumizi,ni kwa kuwa huna kauli juu take,
Anakunyima papa ni kwa kuwa amekucontrol,
Zaidi badilika kuwa mwanaume ili nae ajue nina mwanaume sio mvulana
Duuh, huyu wangu sitakaa nimuache ng'oooo! Nimegundua wa kwangu ni mke mwema saaaaana,.. Nikisoma maisha ya ndoa ya watu na visanga vyao... Namshukuru Mungu kwa mke alonipa... Hakika nimepata mke haswaaaa... Pole yako.
Tuachie na sie tujaribu kama kweli ni mwema hivyo.
Haya kila lakheriNshafeli ila atapaa kwenda kwao[emoji3321][emoji3319]
Una uhakika Yesu hakuwa na mahusiano ya kimapenzi. Au na wewe upo kwenye kundi la waliochakachuliwa?Huyo pichani ndo mkeo au huo Ni mfano tu
Sorry kwa kutoka nje ya maada chief
Mambo Kama haya ndo maana dakika ya mwisho nasemaga sitakuja h kuoa nitaishi single Kama yesu masiah.mbona hakuwa hata na uhusiano na mwanamke Wala hakujibebesha majukumu lakini amekufa akiwa most succesfull man in the history.
Jamaa unafaa sana kwa ushauriHuyo mke anakudharau,wekeza nguvu nyingi kwa watoto pia tafuta wa pembeni wa kukumalizia haja zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyooooo ni chaguo lakoo[emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji443][emoji444]
Ukiona kiwili wili kinayumba basi tambua kichwa cha familia kimejaa kamasi na sio ubongo. Tumia akili.
Una uhakika Yesu hakuwa na mahusiano ya kimapenzi. Au na wewe upo kwenye kundi la waliochakachuliwa?
huyo ulimwendekeza,ndo maana kakosa kazi za kufanya anaona aishi kwenye mitandoa ya kijamii mpk akili imelemaa,huyo hizo kazi wanazofanya maid angetakiwa afanye yy ikiwezngana mweke mmoja tu anatosha,Kwann mkuu?
Yaana ntamyooshahuyo ulimwendekeza,ndo maana kakosa kazi za kufanya anaona aishi kwenye mitandoa ya kijamii mpk akili imelemaa,huyo hizo kazi wanazofanya maid angetakiwa afanye yy ikiwezngana mweke mmoja tu anatosha,
πππππππππππ[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19][emoji19]
Kwendraaaaaaaa[emoji34][emoji34][emoji34]
Huyo hawezi kubadilika asilani... Afanye maamuzi magumu tuuOnana na viongozi was dini wawaweke chini naiman atabadilika tu, wanawake akili zetu twazijua wenyewe tukiachwa ndo twaanza kulia lia.