Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

uzi una dakika 24 na watu wameuchunia tu. ungekuwa ni uzi aliouanzisha mfungwa GENTAMYCINE hivi sasa ungekuwa hata ukurasa wa pili au hata wa tatu
Nani ameuchunia?

Uzi uchuniwe na wewe Mwanamke ushakomenti?
 
Shida kubwa ya bwana mdogo ni Dharau ,Kiburi na kujiona yeye ni bora ila vingivevyo yuko sambamba na ali kiba kabisa ww jiulizs kijan leo wakupitwa na mtu kama chino
Dogo anajua sana aisee
 
Back
Top Bottom