Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.
Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.
Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu naye na aliuwawa bila hata huruma.
Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?