Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

Huyu mtu wenu muacheni, maana tukianza kuanika mabaya yake mnasema tumuache apumzike, tusipambane na marehemu...Sasa nyie acheni kupambanisha marehemu na walio hai.
Nyie ndio wapiga madili wenyewe pumbav! Kazi ni kujustify kupanda kwa gharama za maisha tu kila Leo na kujificha kwenye chaka la "hapo katikati"
 
Unakubalika na wananchi kisha unategemea kunajisi uchaguzi ili utangazwe mshindi! Uza ubongo huo dogo.
Wewe kushindwa uchaguzi ndio iwe sababu ya kuleta chuki za kipuuzi? Unadhani nguvu ya kura inashindwa kirahisi?
 
Lakini uzalendo wake haukuwa principled.

Leo unatuambia kuna Mtanzania anafanya kazi kampuni za madini ni jizi, hujumu kubwa la uchumi, linasaidia wazungu kui repu nchi.

Unamkamata, unamfunga, unamlipisha ma faini.

Anatoka jela anajiunga na chama chako, anagombea ubunge, anashindwa vibaya kura za maoni….

Wewe unaona wana CCM waliomkataa ni wajinga, mazoba, unampa ubunge!

Wana CCM wamemkataa kwa sababu serikali yako ilimtangaza ni nation-crippling criminal mastermind. Mhalifu mpasua uchumi wa kitaifa.

Unaenda unam hand pick unamtangaza mbunge wa Mbeya sijui Kyela, whatever in hell the place is.
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Ni dalili pia ya kushiriki kumuondoa na sasa hadi maazimisho yake ni sherehe badala ya huzuni
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa

his legacy will survive forever
Too late!!
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Kumbuka kuna watu walipotezwa na huyo unaemuona mzalendo, lkn kubwaa zaidi zaidi zaidi karibu wote wanaojiona wazalendo wanakuwa "never told" kila wakifanyacho wanataka waonekane wapo sahihi.
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Au Kwa lugha nyingine huyo mzalendo wako hakujua kuwa aliowafanyia unyama wasingeweza ku retaliate?
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Tanzania kiongozi mzareeendo alikuwa ni marehemu mwl JK Nyerere tu.
 
Kuna ambao hawakumpenda kwasababu ya kusitishiwa upatikanaji ajira,ila walikua na matumaini ya kuja kuajiriwa siku za mbeleni,hao hawakumuwazia kifo.Kuna wale waliotumbuliwa kwa vyeti feki,nao pia hawakumuwazia kifo,ila wale waliokatiwa mirija ya madili kama rushwa kubwakubwa,kupendeleana n.k,hao walimuwazia kifo yule mwamba.Sijui nini kilitokea akaaga Dunia,ila tuliambiwa MOYO.Viapo vina siri sana.
Hakuwa na UMWAMBA Wowote ila shari tuu.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom