Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
So what?Too late
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.So what?
Ipo siku wananchi wanyonge watakupopoa mawe kwa upuuzi wakoTunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Lila na fila havitangamani.Huyu mtu wenu muacheni, maana tukianza kuanika mabaya yake mnasema tumuache apumzike, tusipambane na marehemu...Sasa nyie acheni kupambanisha marehemu na walio hai.
Wanyonge au WajingaIpo siku wananchi wanyonge watakupopoa mawe kwa upuuzi wako
WanyongeWanyonge au Wajinga
Ipo siku wananchi wanyonge watakupopoa mawe kwa upuuzi wako
Wanyonge
his legacy will survive forever
Dhalimu? Dhalimu asingekubalika kwa wananchi wa kawaida na wanyonge.Tulia tuweke rekodi ya dhalimu sawa.
Kuna ambao hawakumpenda kwasababu ya kusitishiwa upatikanaji ajira...
Semeni ukweli tu alijitoa kwa ajili ya mafanikio yake na watu wa karibu yake.mifano ni mingi sana;ua wapinzani,ua demokrasia,jenga viwanja vya ndege kwenu,nyima vijana ajira ili wakusujudu.Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.
Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.
Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.
Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?