Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

Huyu mtu wenu muacheni, maana tukianza kuanika mabaya yake mnasema tumuache apumzike, tusipambane na marehemu...Sasa nyie acheni kupambanisha marehemu na walio hai.
Nyie ndio wapiga madili wenyewe pumbav! Kazi ni kujustify kupanda kwa gharama za maisha tu kila Leo na kujificha kwenye chaka la "hapo katikati"
 
Unakubalika na wananchi kisha unategemea kunajisi uchaguzi ili utangazwe mshindi! Uza ubongo huo dogo.
Wewe kushindwa uchaguzi ndio iwe sababu ya kuleta chuki za kipuuzi? Unadhani nguvu ya kura inashindwa kirahisi?
 
Lakini uzalendo wake haukuwa principled.

Leo unatuambia kuna Mtanzania anafanya kazi kampuni za madini ni jizi, hujumu kubwa la uchumi, linasaidia wazungu kui repu nchi.

Unamkamata, unamfunga, unamlipisha ma faini.

Anatoka jela anajiunga na chama chako, anagombea ubunge, anashindwa vibaya kura za maoni….

Wewe unaona wana CCM waliomkataa ni wajinga, mazoba, unampa ubunge!

Wana CCM wamemkataa kwa sababu serikali yako ilimtangaza ni nation-crippling criminal mastermind. Mhalifu mpasua uchumi wa kitaifa.

Unaenda unam hand pick unamtangaza mbunge wa Mbeya sijui Kyela, whatever in hell the place is.
 
Ni dalili pia ya kushiriki kumuondoa na sasa hadi maazimisho yake ni sherehe badala ya huzuni
 

his legacy will survive forever
Too late!!
 
Kumbuka kuna watu walipotezwa na huyo unaemuona mzalendo, lkn kubwaa zaidi zaidi zaidi karibu wote wanaojiona wazalendo wanakuwa "never told" kila wakifanyacho wanataka waonekane wapo sahihi.
 
Au Kwa lugha nyingine huyo mzalendo wako hakujua kuwa aliowafanyia unyama wasingeweza ku retaliate?
 
Tanzania kiongozi mzareeendo alikuwa ni marehemu mwl JK Nyerere tu.
 
Hakuwa na UMWAMBA Wowote ila shari tuu.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…