Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

Weka ushahidi wako namna alivyofanya huu uhalifu.
Ushahidi upo kisongo mkuu wa wilaya aliyemtumia kuumiza na kupora pesa kihuni kafungwa miaka 30 na bado ana kesi tukuki. Unataka ushahidi upi Tena 😀
 
Ushahidi upo kisongo mkuu wa wilaya aliyemtumia kuumiza na kupora pesa kihuni kafungwa miaka 30 na bado ana kesi tukuki. Unataka ushahidi upi Tena 😀
We una akili timamu? Acha ushoga.
 
We una akili timamu? Acha ushoga.
Hahaaa baada ya kubanwa pu.. umeanza kutukana?? Bado unataka ushahidi ni umwage. Acheni kusifia upuuzi huyo hakuwa mzalendo Zaid ya kuzalisha chuki na uhasama katika jamii!!. Mzalendo anazuia watu kuchangia damu kuokoa maisha ya mbunge??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…