Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Huyo kilaza wako huwezi kumfananisha na wana mapinduzi wa kweli na wazalendo halisi wa Kiafrika kama Thomas Sinkara.
Thomas Sinkara hakuwa katili kwa kuwaua wale waliomkosoa,wala hakuwa mwizi wa kudhulumu pesa za watu na kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi ili kuwakomoa.
Acha kumlinganisha Thomas Sankara na wajinga.
 
Huyu mtu wenu muacheni, maana tukianza kuanika mabaya yake mnasema tumuache apumzike, tusipambane na marehemu...Sasa nyie acheni kupambanisha marehemu na walio hai.

Bado cjaona rais mzalendo kwa nchi/bara lake kama Muammar Gaddafi. Huyu alikua Simba nyanaume haswaa,
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Hawa viongozi wanaojifanya wazalendo huwa washamba sana na wajinga..

Sankara
Idi Amini
Bokasa
Nguema - huyu alikula hadi nyama za watu
Mengistu
Michel Micombero
Magufuli
Sokoine

Msekwa aliwahi kusema ukiwa na kiongozi wa aina ya hawa stahili yake kuongoza ni miaka mitano tu si zaidi ya hapo...

Magufuli baada ya kusikia kauli hii akaenda kuvuruga uchaguzi akiamini hilo litamsaidia, kosa vyote usikose akili
 
Ipo siku tutaujua tu ukweli kuhusu Mwenda zake.

Kataa uhuni.
 
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.

Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo.

Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu nae na aliuwawa bila hata huruma.

Je, huyu Mzalendo wa Afrika aliyejitoa kwa taifa lake kama Thomas Sankara hakujua kuwa waliokaribu yake hawakumpenda sababu tu alitetea maslahi ya taifa lake?
Mzalendo anamfukuza CAG wake mkweli??
 
Nachekaga mpaka Leo yule mlinzi wake alikua analinda si kwa uvimbaji ule
 
Back
Top Bottom