Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

Lkn kwa roho ya yule jamaa sishangai
 
Zitto ni punguani na kama serikali haitamkamata pamoja na mtoa taarifa wake ili wasakwe wale waliotumwa kwenda kuchoma moto shamba la korosho, nyumba Kigoma na mali zingine ili wathibitishe tuhuma dhidi ya hayati JPM. Hii sasa haibubaliki watu wamevumiliwa vya kutosha sasa ni wakati wa vita kamili maana mnafikiri kwa kushambulia utawala uliopita hasa hayati JPM mkadhani watu ni wajinga kiwango hicho.

Enough is enough.......................
 
Mbona aliwahi kusema hana shamba la korosho?
 
Yaweke hapa tuyapime. Siyo kuongea kama kasuku tu.

Kwa taarifa yako unyama uliofanywa na Magufuli ni kiwango cha akina IDDI AMINI

Huna hoja, una chuki kubwa sana ndani ya moyo wako. Sitapoteza muda wangu kukuelimisha. Very silly.
 
Kabisa mkuu!

Ndio maana baada ya kifo chake migaidi sasa inanyea debe!

Kumbe yule hayawani alikuwa analea migaidi,!

Hakika sasa tuko vizuri ndio maana hata juzi sisi mabavicha tulimpongeza sana Zitto baada ya hotuba yake mbele ya rais.
Hata kama zitoo ni mnafiki lakin bado huwez kumlinganisha na hayawani. Magufuli alikuwa na ukatili tena wa kishamba na kishetan sana.
 
Mimi namuamini Zitto 100%. Marehemu hakuwa mtu mzuri na hakuwa mkweli. Watu wengi wameonewa na kuumizwa. Niliandika uzi wenye kuelezea kutovutiwa na utawala wake, uzi ukafutwa
 
Kabisa mkuu!

Ndio maana baada ya kifo chake migaidi sasa inanyea debe!

Kumbe yule hayawani alikuwa analea migaidi,!

Hakika sasa tuko vizuri ndio maana hata juzi sisi mabavicha tulimpongeza sana Zitto baada ya hotuba yake mbele ya rais.

Unadhani ukisema hivyo ndio utatuchanganya tusijue uibilisi wa magu na huu uhuni wa sasa? Mama wa kambo anaweza kufanya sana siasa chafu, lakini hawezi kumkuta yule shetani.
 
Mimi namuamini Zitto 100%. Marehemu hakuwa mtu mzuri na hakuwa mkweli. Watu wengi wameonewa na kuumizwa. Niliandika uzi wenye kuelezea kutovutiwa na utawala wake, uzi ukafutwa

mpaka leo moderator wa magu wapo watakufutia tena
 
Laana ya Mbowe imeanza kumtafuna!

Anataka kujifichia kwa hayati!
Anachokifanya Zitto ni kujaribu kuonyesha public kuwa yeye pia alifanyiwa madhila kama aliyofanyiwa Mbowe, ila amesamehe na anashirikiana na serikali hii ya awamu ya sita...
 
?!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…