Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn kwa roho ya yule jamaa sishangaiHigh level of Insanity continues. That’s highest level of stupidity Zitto and politicians of his caliber have recently continue to emerge.
Tuwapuuuze wapumbavu hawa ssmpuli ya zito smbao wameibuka ktk nchi yetu miaka ya karibuni. Mfano wa hovyo kabisa Bulembo and team.
Rais akiamua kuchoma mikorosho angeshindwa kweli?
Wana fikiria kwa kumzushia marehemu Na kutunga uongo Watanzania tutawaonea huruma Na kuwapandisha hadhi .
Sasa nimejua kwanini chadema wanamuita zito mnafiki..
Wewe mwenye vyeti original vp hapo UN mna endeleajeWatu wa vyeti feki mnamatatizo sana. Basi endeleeni na uhayawani wa kufikiri kufoji vyetu ndo mpate huruma ya serikali.
Inawezekana kabisa.Kwaiyo huyo kijana alikutana na Magufuli njian ndo wakamtuma akachome shamba?
Hata Magufuli alikuwa na PhD fekiWatu wa vyeti feki mnamatatizo sana. Basi endeleeni na uhayawani wa kufikiri kufoji vyetu ndo mpate huruma ya serikali.
Mwehu utamwamini?
Zitto ni punguani na kama serikali haitamkamata pamoja na mtoa taarifa wake ili wasakwe wale waliotumwa kwenda kuchoma moto shamba la korosho, nyumba Kigoma na mali zingine ili wathibitishe tuhuma dhidi ya hayati JPM. Hii sasa haibubaliki watu wamevumiliwa vya kutosha sasa ni wakati wa vita kamili maana mnafikiri kwa kushambulia utawala uliopita hasa hayati JPM mkadhani watu ni wajinga kiwango hicho.
Yaweke hapa tuyapime. Siyo kuongea kama kasuku tu.
Kwa taarifa yako unyama uliofanywa na Magufuli ni kiwango cha akina IDDI AMINI
Hata kama zitoo ni mnafiki lakin bado huwez kumlinganisha na hayawani. Magufuli alikuwa na ukatili tena wa kishamba na kishetan sana.Kabisa mkuu!
Ndio maana baada ya kifo chake migaidi sasa inanyea debe!
Kumbe yule hayawani alikuwa analea migaidi,!
Hakika sasa tuko vizuri ndio maana hata juzi sisi mabavicha tulimpongeza sana Zitto baada ya hotuba yake mbele ya rais.
9-6=3 Atakuwa ni kijiti si njitiUtakuwa ulizaliwa miezi 6 kabla miezi 9 kukamilika ndio maana una utapia mlo wa akili
Kabisa mkuu!
Ndio maana baada ya kifo chake migaidi sasa inanyea debe!
Kumbe yule hayawani alikuwa analea migaidi,!
Hakika sasa tuko vizuri ndio maana hata juzi sisi mabavicha tulimpongeza sana Zitto baada ya hotuba yake mbele ya rais.
Mimi namuamini Zitto 100%. Marehemu hakuwa mtu mzuri na hakuwa mkweli. Watu wengi wameonewa na kuumizwa. Niliandika uzi wenye kuelezea kutovutiwa na utawala wake, uzi ukafutwa
Anachokifanya Zitto ni kujaribu kuonyesha public kuwa yeye pia alifanyiwa madhila kama aliyofanyiwa Mbowe, ila amesamehe na anashirikiana na serikali hii ya awamu ya sita...Laana ya Mbowe imeanza kumtafuna!
Anataka kujifichia kwa hayati!
?!.Sina shamba Mtwara. Nina ardhi iliyogawiwa viwanja na nimekuwa nikitangaza wazi kwenye Tamko la Mali na Madeni ( Zitto Kabwe ajaza fomu ya Utumishi, pia awasilishwa Muswada binafsi wa kulazimisha Viongozi kuweka wazi mali na madeni - JamiiForums ).
Hata ningekuwa na shamba la Korosho hakuna ubaya. Ningefurahi kuwa Serikali inanunua Korosho yangu kwa bei nzuri. Ningefurahi sana kuwa Mkulima wa Korosho ninayetetea jambo ninalolijua vizuri. Nisingeona aibu Kabisa. Ningetembea kifua mbele kabisa.
Wanaosema ninashamba la Korosho wanaweza kusema mwaka jana nimeuza Korosho kilo ngapi? Maana Korosho yote inauzwa vyama vya Msingi. Mimi ni mwanachama wa Chama gani Cha Msingi?
CCM pumzi imekwisha. Wanatapatapa. Siasa za kuharibu mali za watu ni siasa za kishamba sana.