Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Huo ni ushirikina tu, watu wanakuchorea rada akija kupotea huyo kiumbe ujue kifuatacho ni mabomu tu, ila we muombe mungu akulinde tu hakuna wanachoweza kukufanya bila ya ruhusa ya muumba wako.Yani anakuja anatua karibu na dirishani ninakolala anaanza kulia hovyo.
Hapo ni usiku wa manane, anakuja karibu mara 3 kwa wiki. Cha ajabu majirani zangu hawasikii akilia. Namna gani naweza mdhibiti?
Maana kiasili huyu si kiumbe mwema