Halafu mbona kama huyu Pacome kama amekonda sana hivi ukiangalia shavu na hadi miguu.
Simba kwetu ni mwembe wa uani😄 tunajipigia tu msimu huu we subiri
Mazoezi kaka. Mazoezi. Hatucheki na mtuHalafu mbona kama huyu Pacome kama amekonda sana hivi ukiangalia shavu na hadi miguu.
Mazoezi ndiyo unakonda hadi mashavu? Labda uniambie ndiyo alikuwa hivyoMazoezi kaka. Mazoezi. Hatucheki na mtu
Saidi wa buza atakua bado n kochaSimba kwetu ni mwembe wa uani
Engeneer yupo smart sana lakin katika vitu amezingua ni kumleta huyu beberu! Hakuna mburushi aliefundisha africa akafaulu! Kama yupo nikumbushen!
Kocha mzuri kumbuka tumezichapa teams kadhaa bao za kutosha humu ndani.hata TP Mazembe na Al Hilal walillaa kwao.Engeneer yupo smart sana lakin katika vitu amezingua ni kumleta huyu beberu! Hakuna mburushi aliefundisha africa akafaulu! Kama yupo nikumbushen!
Angekuwa kocha mzuri Boka asingemaliza dakika 90Kocha mzuri kumbuka tumezichapa teams kadhaa bao za kutosha humu ndani.hata TP Mazembe na Al Hilal walillaa kwao.
Asingekuwa kocha mzuri yanga isingemfunga Tp Mazembe na Al Hilal kwaoAngekuwa kocha mzuri Boka asingemaliza dakika 90
Simba ni walemavu?Kaongea lipi baya hapo, mashabiki mnatumia hisia badala ya akili.
Mnadhani mtashinda kila siku kama mnacheza na walemavu.
Alifanya nini?Ni uhalisia aliouongea. Jana tu Orlando Pirates unaona alichofanya Kwa Al Ahly.
Huwezi kuelewa ukiwa shabiki maandazi.Simba ni walemavu?
Alimpiga Al Ahly 2 kwake juzi hapa, zilipigwa pasi kama kumi hivi Hadi goli la pili likaingia, kwanza hawaogopi. Wanapiga pasi fupi fupi na za haraka Hadi mwarabu alichanganyikiwa dakika kadhaa.Alifanya nini?
Umebadilika tena.Fikeni fainali hilo kombe la luza
Supu ya mapupuHalafu mbona kama huyu Pacome kama amekonda sana hivi ukiangalia shavu na hadi miguu.