Huyu Kocha Saed anyamaze asizidi kututia hasira. Anaongea sana. Haya maneno gani sasa?

Huyu Kocha Saed anyamaze asizidi kututia hasira. Anaongea sana. Haya maneno gani sasa?

Ali Kamwe aliulizwa mbona Pacome hajaonekana akaanza kuchekacheka huku akijigamba mashindano makubwa yanachezwa kikubwa na kwamba wana mbinu za kivita. Baada ya mechi zinakuja stori za malaria.

Kocha wa MCA aliweka wazi wachezaji wake atakaowakosa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ubayaa ubwelaa
 
Engeneer yupo smart sana lakin katika vitu amezingua ni kumleta huyu beberu! Hakuna mburushi aliefundisha africa akafaulu! Kama yupo nikumbushen!
Kocha mzuri kumbuka tumezichapa teams kadhaa bao za kutosha humu ndani.hata TP Mazembe na Al Hilal walillaa kwao.
 
Ni uhalisia aliouongea. Jana tu Orlando Pirates unaona alichofanya Kwa Al Ahly.
 
Kaongea lipi baya hapo, mashabiki mnatumia hisia badala ya akili.

Mnadhani mtashinda kila siku kama mnacheza na walemavu.
 
Back
Top Bottom