cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Michicha mingine huliwa pia huweza kula kabisa yaniNa huyo Loy ndio anashinda nae eti anko!!!
Anko mchicha?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michicha mingine huliwa pia huweza kula kabisa yaniNa huyo Loy ndio anashinda nae eti anko!!!
Anko mchicha?!
Sema huwa siwaamini wanawake kwenye kauli kama hiziAisee kiukweli nikiona mkaka kavaa hivo huwa sielewi kama yupo sawa na kuna mmoja nilimuona na ana chura kubwa tu[emoji23][emoji23] nikashangaa
Dah kwahiyo unataka niseme wananifurahisha wanaovaa vipensi ama? Mimi hawezi kunivalia kipensi hivo public sitomuelewa, huo ndiyo msimamo wangu ukitaka kuniamini sawa na pia ukijumisha na huyo dada yenu sawa pia mkuuSema huwa siwaamini wanawake kwenye kauli kama hizi
Kuna mdada mmoja tulikuwa na mazoea naye tu kwenye mazingira ya kazi tuko washkaji tumekaa mahali na yeye yupo akaja jamaa yetu mwingine katupa hi akaondoka yule dada akatuambia simpendi huyu kaka
Namuuliza kwanini anasema "alivyo tu ana sifàsifa mambo yake siyapendi"
Unajua nini kilitokea haukupita mwezi dada alikuwa na mazoea sana na yule mshkaji na baadae jamaa alikuja kutuambia yule dada ndiyo shemu wetu
Tangu hapo nazidi kuelewa kuwa kuwaelewa wanawake ni kipengele
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mpaka hapa nimeweka nukta hakuna haja ya kuuliza tena.
Jamaa anaonekana sio ridhiki , na pia kama yupo kwenye black market , mtu yyte anayespend more bila mishe zake za kuingiza pesa kujulikana vyema mweke kwenye ()Ila sijaona Bata lolote analokula zaidi ya kupiga picha kwenye mali za watu.
Ukimuona mwamume mjini kavaa hivo vipensi anatoka kimbia maradufu...hakuna mwanaume rijali na urijali wake anatembea hivo barabaraniHivo vipensi mmh!
Kabisaa nachomoka mbio😂Ukimuona mwamume mjini kavaa hivo vipensi anatoka kimbia maradufu...hakuna mwanaume rijali na urijali wake anatembea hivo barabarani
Yani hivo vipensi mmmh,dasilamu bwanaduh wakaka wa daresalama wanazidi kuongezeka kila day.
Huyu mkaka ni nani hapa mjini anafanya mishe gani maana huwa namuona akila bata kila mahala dunia mara Marekani mara ulaya mara Dubai mara anaendesha magari ya gharama sana
Anafanya mishe gani hapa mjini?Anakula bata sana duniani View attachment 1892908View attachment 1892909View attachment 1892911View attachment 1892910View attachment 1892913View attachment 1892912View attachment 1892914View attachment 1892915View attachment 1892916View attachment 1892917
ni mwendo wa kutakataYani hivo vipensi mmmh,dasilamu bwana
Huwenda unachokiongea kisiwe kinatoka moyoniDah kwahiyo unataka niseme wananifurahisha wanaovaa vipensi ama? Mimi hawezi kunivalia kipensi hivo public sitomuelewa, huo ndiyo msimamo wangu ukitaka kuniamini sawa na pia ukijumisha na huyo dada yenu sawa pia mkuu
Uko sahihi kabisa, kinatoka kwenye mapafu yako mkuu.
eeehSema huwa siwaamini wanawake kwenye kauli kama hizi
Kuna mdada mmoja tulikuwa na mazoea naye tu kwenye mazingira ya kazi tuko washkaji tumekaa mahali na yeye yupo akaja jamaa yetu mwingine katupa hi akaondoka yule dada akatuambia simpendi huyu kaka
Namuuliza kwanini anasema "alivyo tu ana sifàsifa mambo yake siyapendi"
Unajua nini kilitokea haukupita mwezi dada alikuwa na mazoea sana na yule mshkaji na baadae jamaa alikuja kutuambia yule dada ndiyo shemu wetu
Tangu hapo nazidi kuelewa kuwa kuwaelewa wanawake ni kipengele
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Haha! malindalessTusubiri muda utaongea.. Mi mwanaume akishavaa kibukta mapaja yote nje, basi tena.
Mavazi mengine wanaume hayatufai
Huyo hana rinda hata moja,labda kabakiza nguvu ya kusukuma kimbaIla sijaona Bata lolote analokula zaidi ya kupiga picha kwenye mali za watu.
Shoga ni shoga tu hana tofauti na juma lokole au jamesNi shoga.anadanga pia.sema yeye sio wale wa uswahilini. Ni wa kishua halafu educated