Huyu Loydemich ni nani hapa mjini? Anafanya kazi gani?

Aisee kiukweli nikiona mkaka kavaa hivo huwa sielewi kama yupo sawa na kuna mmoja nilimuona na ana chura kubwa tu[emoji23][emoji23] nikashangaa
Sema huwa siwaamini wanawake kwenye kauli kama hizi
Kuna mdada mmoja tulikuwa na mazoea naye tu kwenye mazingira ya kazi tuko washkaji tumekaa mahali na yeye yupo akaja jamaa yetu mwingine katupa hi akaondoka yule dada akatuambia simpendi huyu kaka
Namuuliza kwanini anasema "alivyo tu ana sifàsifa mambo yake siyapendi"
Unajua nini kilitokea haukupita mwezi dada alikuwa na mazoea sana na yule mshkaji na baadae jamaa alikuja kutuambia yule dada ndiyo shemu wetu
Tangu hapo nazidi kuelewa kuwa kuwaelewa wanawake ni kipengele

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Dah kwahiyo unataka niseme wananifurahisha wanaovaa vipensi ama? Mimi hawezi kunivalia kipensi hivo public sitomuelewa, huo ndiyo msimamo wangu ukitaka kuniamini sawa na pia ukijumisha na huyo dada yenu sawa pia mkuu
 

Mkuu tafuta tu hela utauliziwa na wewe pia
 
eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…