mfichuamambo
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 107
- 313
Huyu mkaka ni nani hapa mjini anafanya mishe gani maana huwa namuona akila bata kila mahala dunia mara Marekani mara ulaya mara Dubai mara anaendesha magari ya gharama sana
Anafanya mishe gani hapa mjini? Anakula bata sana duniani
Anafanya mishe gani hapa mjini? Anakula bata sana duniani