Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali

Natizama mechi ya maveterani hapa Azam tv ,huyu lunyamila yupo ubavu wa kushoto kwa namna anavyocheza inaonyesha ana akili sana na Fundi

Sijui enzi zake alikuaje huyu veterani
Alikuwa hatari sana....ukiitaja Yanga ulikuwa unamtaja yeye!!
 
Lunyamila alisifika na kuimbwa hadi nchi za jirani.
Katika kufuatilia kwangu mpira wa bongo Lunyamila (Edybil Jonas) ni kati ya mastraika niliowakubali sana.
 
Natizama mechi ya maveterani hapa Azam tv ,huyu lunyamila yupo ubavu wa kushoto kwa namna anavyocheza inaonyesha ana akili sana na Fundi

Sijui enzi zake alikuaje huyu veterani
Edibili Jonas Lunyamila....pale mbele Said Mwamba Kizota huku simba Wako Mohamed Mwameja Langoni beki yuko George Masatu....kipa wa yanga Steven Nemes.....hizo zilikua enzi za vipaji wachana na watoto wa siku hizi kusuka twende kilioni na kupaka sijui mango piko sijui supa blaki...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina Athuman china. Marota soma born jagla. Ramadhan leni kasongo Athuman bek hatar sana hii aisee daaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edibili Jonas Lunyamila....pale mbele Said Mwamba Kizota huku simba Wako Mohamed Mwameja Langoni beki yuko George Masatu....kipa wa yanga Steven Nemes.....hizo zilikua enzi za vipaji wachana na watoto wa siku hizi kusuka twende kilioni na kupaka sijui mango piko sijui supa blaki...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikal pol, Damian kimti,nteze John,malota soma etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edibili Jonas Lunyamila....pale mbele Said Mwamba Kizota huku simba Wako Mohamed Mwameja Langoni beki yuko George Masatu....kipa wa yanga Steven Nemes.....hizo zilikua enzi za vipaji wachana na watoto wa siku hizi kusuka twende kilioni na kupaka sijui mango piko sijui supa blaki...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa na Dua Said pia
 
hapana chezea lunyalunyalunyalunya alivyostaafu ndipo nikaacha kushabikia simba au yanga hata uwanjani nimegoma kwenda nikiwazaaaaa du mungu waajabu sana
 
Back
Top Bottom