Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Edibili Jonas Lunyamila....pale mbele Said Mwamba Kizota huku simba Wako Mohamed Mwameja Langoni beki yuko George Masatu....kipa wa yanga Steven Nemes.....hizo zilikua enzi za vipaji wachana na watoto wa siku hizi kusuka twende kilioni na kupaka sijui mango piko sijui supa blaki...
Sent using Jamii Forums mobile app
FAT ilikuwa inaongozwa na Ndolanga na Mwizi mwezie Rage