Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Huyu ndie Gaucho wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya kiungwana swahiba yangu hiyo umeeleweka sana na ni jambo la kiistaarabu kuomba radhiBahati mbaya sana maandishi hayafutiki lakini nimeshaomba radhi na narudia kuomba radhi tena kwa hiki nilichoandika.. Sikutenda kwa weledi na nikaongozwa na ghadhabu za ghafla nikakosa tafakuri
Jr[emoji769]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kauli ya kiungwana swahiba yangu hiyo umeeleweka sana na ni jambo la kiistaarabu kuomba radhi
Mkuu kwa heshima uliyokwishajijengea humu,hukuwa mtu wa kuandika vile,coz unaonekana ni a point of reference,kuandika vile kunakufanya uonekane *kumbe ni mtu wa kawaida* hope umejifunzaMy apology...! Sikupaswa kujibu hivi
Jr[emoji769]
Hakuna mkamilifu na kuteleza ni kitu cha kawaida katika maisha MUHIMU ni kwamba tu USIANGUKEMkuu kwa heshima uliyokwishajijengea humu,hukuwa mtu wa kuandika vile,coz unaonekana ni a point of reference,kuandika vile kunakufanya uonekane *kumbe ni mtu wa kawaida* hope umejifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi zile kulikuwa na vipaji, nikimkumbuka selestin sikinde Mbunga, majimaji hapo, dah!! Liter mhina, Tino, MROPE, Nahisi kipindi hicho walikuwa wahongaji wakubwa kwa madem Hawa jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwashwa siwezi kutiwa na wewe wa Bara, utanichafua tu...
Hivi hao wapo wapi sasa hivi ?Nteze John Lungu, Damian Mrisho Kimti, Saed Sued Scud, Ramadhan Chumila, David Mwakalebela, Keneth Pius Mkapa, Mavumbi Omary, Mao Mkami
Siku hizi Straiker tunamtambua kwa Msuko wa Nywele zake sio Utundu wake kwny Pitch
Hivi hao wapo wapi sasa hivi ?
Pole kwa wamestaafu kimaskini.Watakuwa wanajiandaa kufa tu mida hii!
Kuna mmoja yupo sana pale ofisi za TFF Karume anagongea Kahawa na Kashata za Offer kutwa nzima jion anarudi zake kwake Pugu Kajiungeni
Fedha walizokuwa wanapata Wengi wao waliwekeza kwny Viuno vya kina MamaPole kwa wamestaafu kimaskini.
Ulikuwa mtoto aisee. Heston Mulenga (R.I.P) wa Zambia aliipata sawasawa kutoka kwa winga huyo.
Alichanganya ID.Duu mshana Jr ni ww kweli au?yaan ww humu jf ni miongoni mwa watu ninaowakubali sana aisee matusi siyo fresh kaka