Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali

Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali

Bahati mbaya sana maandishi hayafutiki lakini nimeshaomba radhi na narudia kuomba radhi tena kwa hiki nilichoandika.. Sikutenda kwa weledi na nikaongozwa na ghadhabu za ghafla nikakosa tafakuri

Jr[emoji769]
Kauli ya kiungwana swahiba yangu hiyo umeeleweka sana na ni jambo la kiistaarabu kuomba radhi
 
Sie tuliopata walau kuusikiliza mpira wake hatutakaa kumsahau Lunya... Kuna vipaji Mungu anawapa aliowachagua kama alivyomfanya Lunya. Ukienda pale Uganda na haswa ukawauliza wakongwe wa Sports Villa watakupa habari yake.

Lunya ni habari nyingine hata sahivi unapomwangalia akiwa na mpira unajiuliza leo nani anaweza kufanya vitu fulani vyake ijapo umri umeenda, kiufupi hayupo hata leo
 
Tatizo la watoto Wa siku hizi wanadhani wachezaji Wa zamani hawakiwa na uwezo kwa sababu wengi wao hawakufanikiwa kwenda nje, Mimi nimeangalia ligi ya tz tangu mwaka 1990 (sio kusikiliza)....nakwambia inawezekana wachezaji Wa tz hawakufanikiwa kucheza ulaya kwa sababu ya kukosa exposure na bahati..lakini nakuhakikishia tz kumepita vipaji vya hali ya juu na kama wachezaji Wa kipindi kile wangekuwa wanacheza sasa hivi,tungekuwa na akina Samata zaidi ya 20, to be honest tangu nianze kuangalia mpira Wa tz, edibil lunyamila ni no 1 sijamuona zaidi yake...bahati mbaya cleap za video hazipo

17 PHD these are results
 
Enzi zile kulikuwa na vipaji, nikimkumbuka selestin sikinde Mbunga, majimaji hapo, dah!! Liter mhina, Tino, MROPE, Nahisi kipindi hicho walikuwa wahongaji wakubwa kwa madem Hawa jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nteze John Lungu, Damian Mrisho Kimti, Saed Sued Scud, Ramadhan Chumila, David Mwakalebela, Keneth Pius Mkapa, Mavumbi Omary, Mao Mkami
Siku hizi Straiker tunamtambua kwa Msuko wa Nywele zake sio Utundu wake kwny Pitch
 
Hivi hao wapo wapi sasa hivi ?
 
Hivi hao wapo wapi sasa hivi ?

Watakuwa wanajiandaa kufa tu mida hii!
Kuna mmoja yupo sana pale ofisi za TFF Karume anagongea Kahawa na Kashata za Offer kutwa nzima jion anarudi zake kwake Pugu Kajiungeni
 
Watakuwa wanajiandaa kufa tu mida hii!
Kuna mmoja yupo sana pale ofisi za TFF Karume anagongea Kahawa na Kashata za Offer kutwa nzima jion anarudi zake kwake Pugu Kajiungeni
Pole kwa wamestaafu kimaskini.
 
Kaunda mwakitope, sanifu lazaro"tingisha",Kenneth mkapa, James Tungaraza"bolizozo" nk
 
Back
Top Bottom