barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ila ni yanga kindakindaki.Mara ya mwisho aliichezea Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ni yanga kindakindaki.Mara ya mwisho aliichezea Simba
Natizama mechi ya maveterani hapa Azam tv, huyu Lunyamila yupo ubavu wa kushoto kwa namna anavyocheza inaonyesha ana akili sana na Fundi.
Sijui enzi zake alikuaje huyu veterani.
Duh! Mlienjoy sana aiseee!! Nilikuwa Songea form one nilitamani niwe miongoni mwenu. Wachezaji kipindi kile mliishia kwenye umaarufu na kutoka na mademu wakali, """Msiniumizieeee""" nilitamani sana niwe mkubwa fasta nienjoy km nyie vile[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilishiriki UMISETA Songea na Zanzibar. Kumbukumbu zinanitoka kidogo. Sina uhakika nilimuona Songea au Zanzibar. Umri umeshapita sana!!!
Mkuu kuna mtu kitaa ananisumbua sana,nataka tuonane nimshtakie kwako.
Huyo jamaa alikuwa fundi balaaaNatizama mechi ya maveterani hapa Azam tv, huyu Lunyamila yupo ubavu wa kushoto kwa namna anavyocheza inaonyesha ana akili sana na Fundi.
Sijui enzi zake alikuaje huyu veterani.
Na medali, na makombe aliyochukua, na heshima ya miaka mia nane ijayo.
usipende kujipendekeza..! Kiazi mbatata wewe.. Naona unawashwa nitakutia cha kati bila ky mazafakaNa medali, na makombe aliyochukua, na heshima ya miaka mia nane ijayo.
Lunya na mpira...
Acha wivu wa kipuuzi.
Nikiwashwa siwezi kutiwa na wewe wa Bara, utanichafua tu...Naona unawashwa nitakutia cha kati bila ky mazafaka
Jr[emoji769]