Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali



FAT ilikuwa inaongozwa na Ndolanga na Mwizi mwezie Rage
 
Yaani humu jf saa zingine tunabishana kumbe tunabishana na watoto zetu.....Lunyamila ni juzi tuu.
 
Mtangazaji wa redio Lunyanyamila akiwa ana dribble mpira alikua anasema lunyamila tindi ndiii lunyamila tindi ndiiii,lunyamila lalalaaa goooooooal,jamaa alikua anauwezo mkubwa wa ku dribble
 
Lunya ni sawa tu na Ngassa (Mrisho).....kelele nyingi na hana jipya. In short hakuwahi kuwa na jipya, isipokuwa hapa Bongo na mpira wetu wa kijinga alisikika (redioni) kuwa ni mkali wa mpira lakini wapiiiiiii, si lolote si chochote. Najuwa wale wasiojuwa mpira watakuja hapa kupiga punyeto na kulalamika hapa huku wakitokwa na povu.....mkumbuke, mwaka 1995 huyu Lunyamila alikwenda Ujerumani kwenye majaribio akashindwa, tena majaribio ya daraja la 3.....hata namba ya benchi warmer hakupata. Hakuishia hapo, akaenda mpaka Venezuela (nchi ambayo kiwango cha mpira wa kwao ni sawa na hapa Bongo) kujaribu katika daraja la pili akashindwa, ila hapa Bongo alikuwa anaonekana super star. Wabongo tuna kazi kweli kweli.
 
lunya ni moto wa gas weka mbali na watoto


Hivi wewe umeshawahi kucheza hata cha ndimu maishano mwako? Lunya ana mpira gani, mtu alishindwa kupata namba ya benchi Ujerumani tena ligi daraja la 3? Acha ujinga, watu kama nyie ndiyo mnaua mpira wa Tanzania, mnasifia vibonde na kuwapa vichwa bure wakati hawastahili sifa zozote.
 
ndiyo umemaliza kucoment ,,,,,,,, basi nilikosea kuandika samahani Lunya hajui mpira ...... nimefuta kauli....... nafikiri nafsi yako imefurahi......
 
Zanzibar 1991
Songea 1992
Morogoro 1993 hii lunya hayupo hapa waliibuka watu kama tembele; alex chola rajab masare kina athuman mwangwego na primus kasonzo moro palikuwa patamu sana mmenikumbusha mbali hapo kanda ya mashariki ina mikoa miwili pwani na moro baada ya dar kusimamishwa tokea vurugu ya 92 duh waqt umekwenda.
 
Uko sawa kabisa. Mie nilikuwa kwenye kanda ya Mashariki Zanzibar na Songea kwenye timu ya kikapu. Nakumbuka Songea nilikuwepo mimi, Patrick Nyembera, Gaston Assey, Jenga Mapunda, Evarist Mapunda, Ben Swai, Eric Temba, etc. Ndio tuliokuja kuunda timu za Vijana na Pazi zilizofuata. Kwa kweli michezo ilisaidia sana kukuza vipaji sio kwa mpira wa miguu tu, bali kwa michezo mingine.
 
Unguja walikuwa kina masoud na dullah upande wa kikapu magharibi kina Michael mwita kina mzungu kina Godfrey msemakweli.
 
usipende kujipendekeza..! Kiazi mbatata wewe.. Naona unawashwa nitakutia cha kati bila ky mazafaka

Jr[emoji769]
Duu mshana Jr ni ww kweli au?yaan ww humu jf ni miongoni mwa watu ninaowakubali sana aisee matusi siyo fresh kaka
 
Duu mshana Jr ni ww kweli au?yaan ww humu jf ni miongoni mwa watu ninaowakubali sana aisee matusi siyo fresh kaka
Bahati mbaya sana maandishi hayafutiki lakini nimeshaomba radhi na narudia kuomba radhi tena kwa hiki nilichoandika.. Sikutenda kwa weledi na nikaongozwa na ghadhabu za ghafla nikakosa tafakuri

Jr[emoji769]
 
Watangazaji ndo walikuwa wanapata shida hasa mpira ulipokuwa unamfikia..

[HASHTAG]#NitasemaUongoDaimaUkweliKwanguMwiko[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…