Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Watu wakiwa kwenye madaraka, wanajisahau kabisa kuwa nao ni binadamu tu kama wengine na yote yanayowapata binadamu wengine (magonjwa, vifo, n.k), na wao yanaweza kuwapata wakati wowote wakiwa madarakani na hata baada ya kuondoka madarakani.
Ni bahati mbaya sana, huyu Mama anaongea utadhani yeye madhila ya kufiwa kamwe hayatamkuta anasahau kuwa hata aliemtangulia, hivi sasa teyari ni marehemu japo na yeye alikuwa na kiburi.
Asilolijua ni kuwa, kauli anazotoa leo hii, watu wanaziweka kwenye kumbukumbuku katika mioyo yao na hata tecknolojia nayo haimuachi salama katika kutunza kumbukumbuku hizo.
Hivyo, kesho na keshokutwa yakimpata, watu badala ya kuhuzunika nae, wataanza kumkumbusha jinsi alivyokuwa ana kejeli vifo na misiba ya watu wengine na hakika kejeli atazokutananazo, kwake zitakuwa ni msiba mwingine.
Mwisho, asisahau kuwa Mungu ni fundi sana.