Huyu mama, nadhani anatafuta attention tu

Huyu mama, nadhani anatafuta attention tu

Wasomali wanapeana connection na wana connection kubwa nje zenye mitaji mikubwa ya kutuma hela Nchi yeyote sio matura hao watu endeleeni kuwakebehi tu
 
Huyu msomali hapendi unyonge very smart lioness, trump hapati usingizi kwa kitoto kutoka africa ,ukiacha chuki as africans we are proud
Uko nchi ya watu,umesaidiwa kwa njaa zako,halafu unaleta jeuri kwa wenye nchi ,aka mate,arudishwe kwao Somalia kwenye njaa.Na sio huyo tu wazungu,kuanzia American uingereza,Canada,na kwingineko Ulaya,wangewafukuza,wote wasio na asili ya uzungu asili ya Ulaya.Hawa ndio wanachafua nchi za Ulaya.
 
Wasomali wanapeana connection na wana connection kubwa nje zenye mitaji mikubwa ya kutuma hela Nchi yeyote sio matura hao watu endeleeni kuwakebehi tu
Wawakamate,wawafukuze,wamefadhaliwa,halafu wanaleta jeuri,nchi zote za ulaya,America,Uingereza,Canada,na kwingineko,fukuda hawa watu,warudi mwakwao,kwenye njaa,hawa wataiharibu Ulaya yoye kama walivyoharibu nchi zao walikotoka.
 
Mbona wazungu wa ulaya na marekani walipo fika south Africa wakaamini nao ni wazawa na wana haki kama weusi wengine tena sasa wanataka waanzishe nchi Yao mbona hilo usemi, sioni shida ya huyo dada mambo wameanzisha wazungu wenyewe
 
Ile first amendment of us constitution inawapa Audacity watu kuja na kujiona kwamba " They belongs" .. Ukikaribishwa kwa watu na wakakuambia wewe ni mmoja wa familia yetu , usijashau sana kwamba na wewe bado ni " just an Outsider"
US ni ya watu gani to be exact?
 
Mbona wazungu wa ulaya na marekani walipo fika south Africa wakaamini nao ni wazawa na wana haki kama weusi wengine tena sasa wanataka waanzishe nchi Yao mbona hilo usemi, sioni shida ya huyo dada mambo wameanzisha wazungu wenyewe
Wafukuzwe wote huko.nchi za Ulaya,wabaki wazungu wenyewe.Kwanza hawa hawana uislamu wowote wanaoujua,wao wanaona wanaichafua dini ya uislamu,kumbe wanajichafua wenyewe,uislamu unakwenda mbele,haurudi nyuma.Nchi za Ulaya,America,Uingereza,Canada wawafukuze hawa,sio waislamu hawa.
Usifananishe maendeleo waliyoleta Africa kusini wazungu,Wazungu wamreindeleza sana Africa kusini.Tofauti na hawa wanaharibu nchi za Ulaya.
 
Kama wao hawaja watimia we unapata wapi ujasiri wa kuwatimua? Uingereza zaidi ya majengo asilimia kubwa pale London yanamilikiwa na Hindus, hawa wahindi walichukua majengo yaliyo choka wakaya boresha na sada yanaingiza Kodi serikalini we utokee huku nya ngwale ukase wafukuzwe, utapigwa viboko, angalia wakina mbape wanavo iheshimisha ufaransa lakin mbape ni Cameroon nenda uombe afukuzwe
 
Hao wahindi wameleta vurugu?Wafukuzwe hao wanaoleta vurugu,wazungu wamezidi kuwa n imani,wawafurushe tu
 
Shauri yake . Akirudishwa somalia ndio atatii
Arudishwe kwa kuukosoa utawala wa Trump?

Kwamba Marekani napo hakuna demokrasia kama ilivyo kwa shithole countries?

Maana mizengwe ya kuanza kumchunguza uhalali wa uraia wake umekuja baada ya bidada kumpelekea moto wa kisiasa kisawasawa bwana Trump.
 
Hadi kaingia kwenye congress marekani kutoka somalia wakati wewe unahangaika kutafuta hela ya kula dagaa kwenu ileje unatakiwa umuheshimu usijisaha kisa unaweza ku type humu

Dagaa....ileje🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi Iko mbeya au songwe?!!!!!
 
Sasa huyu mama anachunguzwa kuhusu nyaraka zake za uhamiaji yeye na familia yake walipowasili Marekani kama wakimbizi katika miaka ya 1990.

Pamoja na mambo mengine, wanamchunguza kuhusu tarehe yake ya kuzaliwa na namna baba yake alivyopata uraia wa Marekani mwaka 2000, pamoja na iwapo taratibu zilizotumika zilikuwa halali.

Kama yupo clean, there is no reason to panick. Haki itendeke tu. Na bahati nzuri kule USA, hoja hujibiwa kwa hoja na sio risasi au “maelekezo kutoka juu”
Fukuxa kabisa muhuni huyo,wazungu waache imani,kuonea huruma wajinga kama hao
 
Back
Top Bottom