doctor Of doctors
Member
- Aug 8, 2026
- 95
- 122
Wazungu waondoe huruma,wawafukuze hawa wahuni,sio waislamu hawa,huko Saudi Arabia,juzi imewanyonga watano,hawatqki ujinga.Hii kupokea hawa wahalifu huko Ulaya,wakifika huko wanaenHadi kaingia kwenye congress marekani kutoka somalia wakati wewe unahangaika kutafuta hela ya kula dagaa kwenu ileje unatakiwa umuheshimu usijisaha kisa unaweza ku type humu
Wafukuzwe ulaya,wahuni hao.Hawana uiHii ndio consquences za kuruhusu socialists na islamists katika high orders za utawala wa nchi ambayo ina misingi ya capitalism, western na christian
slamu wowote hao.Ni wahuni,wametapakaa nchi za ulaya.Saudia hawacheki na wahuni hao ,juzi wamewanyonga watano.Mpaka Uingereza wamedanganyika ki urahisi kuwapokea hawa watu,na wanatumia documents feki.Hawa ndio wanahatarisha dunia,kwa vipato wanavyopata huko Ulaya wanatumia hizo.pesa,kufanya uhalifu sehemu mbalimbali duniani.