doctor Of doctors
Member
- Aug 8, 2026
- 95
- 122
Wazungu waondoe huruma,wawafukuze hawa wahuni,sio waislamu hawa,huko Saudi Arabia,juzi imewanyonga watano,hawatqki ujinga.Hii kupokea hawa wahalifu huko Ulaya,wakifika huko wanaenHadi kaingia kwenye congress marekani kutoka somalia wakati wewe unahangaika kutafuta hela ya kula dagaa kwenu ileje unatakiwa umuheshimu usijisaha kisa unaweza ku type humu
Wafukuzwe ulaya,wahuni hao.Hawana uiHii ndio consquences za kuruhusu socialists na islamists katika high orders za utawala wa nchi ambayo ina misingi ya capitalism, western na christian
Umeandika pumba tupu, hawawezi kuwaondoa ,chuki zako dhidi ya dini na watu fulani inakufanya unazidi kuwq mjingaWazungu waondoe huruma,wawafukuze hawa wahuni,sio waislamu hawa,huko Saudi Arabia,juzi imewanyonga watano,hawatqki ujinga.Hii kupokea hawa wahalifu huko Ulaya,wakifika huko wanaen
Wafukuzwe ulaya,wahuni hao.Hawana ui
slamu wowote hao.Ni wahuni,wametapakaa nchi za ulaya.Saudia hawacheki na wahuni hao ,juzi wamewanyonga watano.Mpaka Uingereza wamedanganyika ki urahisi kuwapokea hawa watu,na wanatumia documents feki.Hawa ndio wanahatarisha dunia,kwa vipato wanavyopata huko Ulaya wanatumia hizo.pesa,kufanya uhalifu sehemu mbalimbali duniani.
Umeandika pumba tupu, hawawezi kuwaondoa ,chuki zako dhidi ya dini na watu fulani inakufanya unazidi kuwq mjinga Hakuna wa kuwaondoa waislamu ulaya na marekani ,we endelea kupiga kelele kujifurahisha na kisimu chako cha mkopo
Hawa sio waislamu,ni wahuni tu.Uislamu ni dini inayofuata sheria na haki.Hakuna udanganyifu kwenye uislamu.Vipi mtu ma kaka ake wanaoana ili wapate uraia wa America,hata kama hawakutiana,lakini hakuna ndoa feki kwenye uislamu.Au mtu anatumia vyeti feki vya kuzaliwa ili apate passport na uraia wa nchi za ulaya.Umeandika pumba tupu, hawawezi kuwaondoa ,chuki zako dhidi ya dini na watu fulani inakufanya unazidi kuwq mjinga
Hakuna wa kuwaondoa waislamu ulaya na marekani ,we endelea kupiga kelele kujifurahisha na kisimu chako cha mkopo
nani aliyekwambia kama kuna binaadamu asiyekosea??Hawa sio waislamu,ni wahuni tu.Uislamu ni dini inayofuata sheria na haki.Hakuna udanganyifu kwenye uislamu.Vipi mtu ma kaka ake wanaoana ili wapate uraia wa America,hata kama hawakutiana,lakini hakuna ndoa feki kwenye uislamu.Au mtu anatumia vyeti feki vya kuzaliwa ili apate passport na uraia wa nchi za ulaya.
Uislamu haukubaliani na mambo feki ni kosa kubwa sana katika uislamu.
Wewe yaonyesha ni mmoja wa hao mnaofanya feki,ili mfabikiwe mambo yenu,mnajichafuwa wenyewe.kwa ujinga went.Uislamu utazidi kusonga mbele.Uislamu ndio dini ya uhakika.