AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
February 4, 2004 sijasahau kuzaliwa kwa The Facebook kwa ajili ya wanafunzi wa HarvardFacebook Iliana kwenye maneno ya Harvard mwak 2004; ya kwako ya 2002 ilikuwa Facebook ipi? Hata myspace nayo ilianza mwaka 2003. Labda ilikuwa Talk Coty ambayo ilikuwa text chatroom bila picha
Siku moja utaanguka pabaya ni suala la muda tuSiwezi kabisa kutumia ndom, ila huwa nikicheza pabaya, nawahi dose zangu za PEP 😁😁
Hizi ndio tunaita nongwaaa sasa 😁😁Siku moja utaanguka pabaya ni suala la muda tu
Ukiwa busy na mambo yako hauwezi kukubali kutumika kwa wengine.wachaga ni wasomi sana lakini mbona siwaoni katika nafasi kubwa za uongozi?
Ndio michezo yako Kumbe🤔Siwezi kabisa kutumia ndom, ila huwa nikicheza pabaya, nawahi dose zangu za PEP 😁😁
Wewe banaa sio kila kitu serious hapa tuna chart... mengine tunasukuma mda 😁😁 usichukulie kila jambo kwa uzito wake.. Utaniua na pressure bureNdio michezo yako Kumbe🤔
Hili siliachi! Ntalitumia sehemu!Wewe banaa sio kila kitu serious hapa tuna chart... mengine tunasukuma mda 😁😁 usichukulie kila jambo kwa uzito wake.. Utaniua na pressure bure
Bila shaka hata ukiupata hutoona ajabu unaendeleza tu kumeza njugu kama kawaida🤣🤣🤣🤣Siwezi kabisa kutumia ndom, ila huwa nikicheza pabaya, nawahi dose zangu za PEP 😁😁
Unataka kunifunga au kunipeleka high court ? 😬😬Hili siliachi! Ntalitumia sehemu!
😁😁 Uzuri nasikia mwakani zinaanza sindano ukipigwa moja leo hadi mwakani ingineBila shaka hata ukiupata hutoona ajabu unaendeleza tu kumeza njugu kama kawaida🤣🤣🤣🤣
Primary courtUnataka kunifunga au kunipeleka high court ? 😬😬