Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Ila brother hujawahi kuwaza kuwa itafika wakati au umefika wakati wa huyo mwanamke kupata mtoto...sijajua ana age gani ila inaonesha kuwa yupo ktk umri ambao anatamani awe atleast na mtoto and you are not ready for that. Huoni kuwa ipo siku atatoka kwenda kuitafuta mimba kilazima ambayo utakuja kubebeshwa wewe mzigo?
 
Kiuhalisia ni kuwa hawajaachana ila mnapangiwa zamu tu ya kupiga...wewe ukipiga usiku mwenzako anasanua mchana..Hainaga makombo wanadai.

Hawara huwa haachwi ila anapumzishwa tu na ukimuhitaji muda wowote anakuja unamaliza shughuli
 
daah .. kuna jambo nimejifunza hapa.. kuna namna umeelimisha mkuu..
 
Umegundua nn kwa Watu wazima mkuu[emoji4]
Cha kwanza kilichonifanya niwapende hawa watu wazima,hakuna maswala ya mimba namwagia ndani kama kenya.

Pili hawana michepuko,kuna asilimia kubwa za mbususu kuimega mimi tu.

Tatu,mbususu zao ni tight yaan ni full utamu,tena kwasasa nko na anaejua mambo nakwambia nabebwa juu juu

Nne,hawana tamaa hawa wamama,wamelizika na maisha yao,hawawaz nyumba,sjui magar,n.k
 
Sema nini, we mwanangu una hela sana.Nimegundua mimi decent kwakua sina hela tu 😂😂
 
Kak nitajie kabila la huyu mwanmke asijekuwa muiraq mnk ndugu [emoji3][emoji3]
 
Ukweli unaujua ila jeuri ya kipato na ulevi wa kuatamia Mbunyende Mbunyende ndio tatizo, usisahau mchongo wako na meneja wa shell umeishaje na mgao ulikuwaje? Chief Nanga and Chief Koko in the making.
Mchongo upi,
yule mwanamke alirudi KAZIni, anafanya kazi pale sheli mpaka leo.

Mgao Ni kwamba wale vijana walichukua laki 5, laki 1 ilkua ya gharama ya kukodi pikpik pamoja na mafuta.
Afande alikula laki 2 pamoja na ile elfu 50 nlompoza siku inalipwa laki 5

So ilitumika laki 8.5 TU.

Mwenye sheli hakuhusika kwny mgao maana Ela zilikua za kwake, zikamrudia mwenyewe. Afu Ni mshkaji wangu

Sema TU nlipata hasara ya 2.35mil
Maana Lile Deni la laki5 ilobaki kwenye milion nlotoa nilisamehe,
afu ile milioni ilobaki kwenye mil 2.5 hakukatwa Tena kwenye mshahara wake.

Kwaiyo ukijumlisha na ile laki 8 ya wale vijana+pikipiki+polisi, kimahesabu inakuja JUMLA 2.35mil
 
Kak nitajie kabila la huyu mwanmke asijekuwa muiraq mnk ndugu [emoji3][emoji3]
Ha ha ah.....
Sio vizur bhana kutaja makabila,

ntaleta ukabila humu, mtazinguana na watani zenu.

Kisha Uzi wetu utapoteza maana[emoji4]
 
Ha ha ha....
Mi mda wa kutulia na wazee bado.

Bado nahitaji kitu inayochemka, inayofuka utamu.

Ule utamu halisia
 
Kiuhalisia ni kuwa hawajaachana ila mnapangiwa zamu tu ya kupiga...wewe ukipiga usiku mwenzako anasanua mchana..Hainaga makombo wanadai.

Hawara huwa haachwi ila anapumzishwa tu na ukimuhitaji muda wowote anakuja unamaliza shughuli
Mi hata sijali,
nnachoangalia kwangu anitimizie haha zangu.

Uko kwingine atajijua mwenyewe, Cha muhimu asigonganishe magari[emoji4]
 
Sema nini, we mwanangu una hela sana.Nimegundua mimi decent kwakua sina hela tu [emoji23][emoji23]
Hata hamna mkuu,
Sema Ni vile TU unaamua kujitoa kwa mtu unayemfeel[emoji4]
 
kwasasa Sifikirii ata kuzaa nae,
Ila nafikiria kua huu upuuz wake anaufanya coz anajua umri wake bado mdg (SLAY QUEEN).

Kuna akili inanambia uyu akijafikisha kuanzia 30+ akili itamkaa ataanza kufocus Zaid future yake, ambapo obvious atabadilika TU .

Kwaiyo naenda na hivo hivo mdg mdg, siku akibadilika ntafikiria Zaid nizae nae au nimuache aendelee na maisha mengine.

Ila nnavomuona uyu sio leo Wala kesho,

TUZIDI KUOMBA MUNGU mkuu[emoji4]
 
Nimekuelewa uko brave Sana pia Hakuna sehemu yoyote uliyotaja kuwa mwanamke ulimfi...ra au anapenda mambo hayo na wew inaonesha wew siyo mfuazi wa maswal hayo

Chukua tahadhari mkuu utelezi huu unamwisho wake
 
Hakuna mfanya biashara Mwenye sheli au manager anaweza Fanya huu upuuzi sababu ya mapenzi ya kijinga na kishenzy Kama Haya!
Unachokibisha hakina hata mashiko,

hivi wee biashara ya sheli unaona Ni kitu kikubwa na cha ajabu Sana eeh?[emoji4]
 
Nimekuelewa uko brave Sana pia Hakuna sehemu yoyote uliyotaja kuwa mwanamke ulimfi...ra au anapenda mambo hayo na wew inaonesha wew siyo mfuazi wa maswal hayo

Chukua tahadhari mkuu utelezi huu unamwisho wake
Hicho chama nilishastaafu mkuu,papuchi ya uyu pasua kichwa wangu inantosha kabisa [emoji4][emoji120]
 
Mzee mwenzangu mpaka leo bado una akili za nyege? [emoji23]
 

Very matured comment[emoji4]
Aisee wee jamaa unawajulia vizur sn wakinamama[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…