Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Unachokibisha hakina hata mashiko,

hivi wee biashara ya sheli unaona Ni kitu kikubwa na cha ajabu Sana eeh?[emoji4]

Ninafanya biashara worth $100,000 Hakuna mfanya biashara mjinga kiasi hicho!
 
We jamaa kwa milolongo hii ya matukio nachelea kusema huyu mwanamke kakuroga si bure.
Hiyo siyo akili yako timamu, yaani kutendwa kote huko bado unaendelea kujiingiza kumnunulia nyumba?
Amka bro, ulichobakisha hapo ni kuuawa tu baada ya kumkabidhi nyumba
 
Ninafanya biashara worth $100,000 Hakuna mfanya biashara mjinga kiasi hicho!
Una biashara ya Bil 200
Yaani una miliki
1. Bajeti ya wizara
2. Makusanyo ya mapato ya Halmashauri zaidi ya 10 nchini
3. Una miliki nusu ya bajeti ya kujengea uwanja wa taifa.

HONGERA.

NAOMBA MADADA WA JF MUONE HII COMMENT YA THY BUSINESS MAN.

NOT THE your THY.

#YNWA
 
Mshikaji wangu kwanza hongera kwa mpangilio wa uwasirishaji mzuri na kukumbuka matukio yote. Hongera pia kwa mapambano na kuyarahisisha kiasi maisha. Lakini pamoja na nyege zote huyo demu hakufai hata nusu. Ungeniambia kitambo sehemu ya kumtema ilikuwa pale alipokuchanganya na njemba mwingine. Huyo demu mteme hapo sasa. Mteme kabisa
 
Una uhakika 10,000USD ni 200b TZS?
 
Kumtema icho ni kipengele mkuu, nishauri vingine labda[emoji4]
 
Mzee hiyo ni milioni 200 na chenji kibao.
 
Ha ha ha...
Wee kachokozi Sana eeh?[emoji4]

umeyajuaje yote Ayo?[emoji848]
Tulifundishwa na mange kimambi kwamba p^$$y ina nguvu sana ukiitumia vizuri unafika mbali...
[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Tulifundishwa na mange kimambi kwamba p^$$y ina nguvu sana ukiitumia vizuri unafika mbali...
[emoji85][emoji85][emoji85]
Mzushi tu yule,
Ata Usimtilie maaanani Sana[emoji4]
 
Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.
Nimesoma story yako yote mkuu, honestly wewe mwenyewe unahitaji tiba! Maana pia wewe hujielewi na akili zako zimeshikwa na huyo mwanamke ndo maana unaisumbukia sana hiyo mbususu! Kwani kuachana naye for good ni shi-ngapi mkuu? Yanini kuhangaika hivo? In short Unafanya harakati za pimbi hapo if you know pimbi ni nini! Concentrate kwenye biashara zako very soon hiyo mbususu itakufanya ujute maisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…