uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Unachokibisha hakina hata mashiko,
hivi wee biashara ya sheli unaona Ni kitu kikubwa na cha ajabu Sana eeh?[emoji4]
Ninafanya biashara worth $100,000 Hakuna mfanya biashara mjinga kiasi hicho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokibisha hakina hata mashiko,
hivi wee biashara ya sheli unaona Ni kitu kikubwa na cha ajabu Sana eeh?[emoji4]
We jamaa kwa milolongo hii ya matukio nachelea kusema huyu mwanamke kakuroga si bure.Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.
Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.
Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"
Nkauliza "kwann?"
Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"
Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"
Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.
Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.
Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"
Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.
Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.
Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.
Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"
Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"
Nkamwambia "sawa"
AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"
Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"
Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"
Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"
Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"
Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.
Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,
Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.
[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]
Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]
Mwisho
Sijakuuliza unafanya biashara ya thamani gani,
Jibu swali
Una biashara ya Bil 200Ninafanya biashara worth $100,000 Hakuna mfanya biashara mjinga kiasi hicho!
Ulete mrejesho mkuuTunapitia mengi,
Na nashkuru humu huwa napata fursa ya kufunguka ya moyoni.
Visa Ni vingi sana MDA Ni mchache[emoji4]
Una uhakika 10,000USD ni 200b TZS?Una biashara ya Bil 200
Yaani una miliki
1. Bajeti ya wizara
2. Makusanyo ya mapato ya Halmashauri zaidi ya 10 nchini
3. Una miliki nusu ya bajeti ya kujengea uwanja wa taifa.
HONGERA.
NAOMBA MADADA WA JF MUONE HII COMMENT YA THY BUSINESS MAN.
NOT THE your THY.
#YNWA
Mpk msibani?!hii kalii!!Ha ha ha....
Mkuu Umefikiria nn kusema hivo[emoji4]
Kumtema icho ni kipengele mkuu, nishauri vingine labda[emoji4]Mshikaji wangu kwanza hongera kwa mpangilio wa uwasirishaji mzuri na kukumbuka matukio yote. Hongera pia kwa mapambano na kuyarahisisha kiasi maisha. Lakini pamoja na nyege zote huyo demu hakufai hata nusu. Ungeniambia kitambo sehemu ya kumtema ilikuwa pale alipokuchanganya na njemba mwingine. Huyo demu mteme hapo sasa. Mteme kabisa
Mzee hiyo ni milioni 200 na chenji kibao.Una biashara ya Bil 200
Yaani una miliki
1. Bajeti ya wizara
2. Makusanyo ya mapato ya Halmashauri zaidi ya 10 nchini
3. Una miliki nusu ya bajeti ya kujengea uwanja wa taifa.
HONGERA.
NAOMBA MADADA WA JF MUONE HII COMMENT YA THY BUSINESS MAN.
NOT THE your THY.
#YNWA
Tulifundishwa na mange kimambi kwamba p^$$y ina nguvu sana ukiitumia vizuri unafika mbali...Ha ha ha...
Wee kachokozi Sana eeh?[emoji4]
umeyajuaje yote Ayo?[emoji848]
We, ndio basi tena, labda matako yaongee ndio utaweza kusikia. Atokee mtu akwambie kwa matako labda unaweza elewa.Kumtema icho ni kipengele mkuu, nishauri vingine labda[emoji4]
Nimesoma story yako yote mkuu, honestly wewe mwenyewe unahitaji tiba! Maana pia wewe hujielewi na akili zako zimeshikwa na huyo mwanamke ndo maana unaisumbukia sana hiyo mbususu! Kwani kuachana naye for good ni shi-ngapi mkuu? Yanini kuhangaika hivo? In short Unafanya harakati za pimbi hapo if you know pimbi ni nini! Concentrate kwenye biashara zako very soon hiyo mbususu itakufanya ujute maisha!Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.